Paroles de Chambua
Paroles de Chambua Par WAKUU MUSIC
(Again go Sevil)
Niko na fimbo kama rungu ya Moi
Mi ndio Dollar dick si lazima nikuwahi
Njoti nakusaidia hakuna kitu unaniwahi
I got so many choices sikosi ata...
It's only me naweza ichambua, jo naweza ichambua
Hiyo kitu iko na mwisho ama bado naweza ichambua
Mi naweza ichambua, walai nikiweza ichambua
Na mi naendaga mwisho nitaipiga ni ka naua
It's only me naweza ichambua, jo naweza ichambua
Hiyo kitu iko na mwisho ama bado naweza ichambua
Mi naweza ichambua, walai nikiweza ichambua
Na mi naendaga mwisho nitaipiga ni ka naua
Si I'm too bad for this local market ju mi ni baba
Kila kitu naguza inaturn goro ju mi ni blanda
Si I'm too bad ndio mnifit kwa packet na hao madanda
Wametry kunifikia for yes but wanajua hawawezi wezana
Ka mtaflip hii mi ni first hii kitu nilianza kutoka zama
Niliambia msanii yeyote atabishana na mimi atazama
Sina msamaha sina huruma itabidi mmekula mtama
Nakula kila kitu hii area wengine nawaachia tamaa
Kula ni kama ni fest, mbuga na sivaagi vest
Nampiga machest na mchuma na sivaagi vest
Ni kama ni waste na bado naangusha the rest
Ju vile nachezaga chest nikama niko blessed
Ata utry huwezi nichase
Ngoma -- ukidhani unaweza nitest
Na educare ukijiona cha the rest
Namada kila beat hadi siku nitaenda kurest...
Ecouter
A Propos de "Chambua"
Plus de Lyrics de WAKUU MUSIC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl