WAKALI WAO My Miss cover image

Paroles de My Miss

Paroles de My Miss Par WAKALI WAO


Yoh Prrr Kang Kang Ha!
Another one fi di ladies
Ahahaha hear dis, Wakali wao Yao Yao

Ati kwako nimechizi ka msee amepiga gwai
Nafeel tu connected kama wifi
Nataka nikutunze ka rungu ya masai
Nitembee tu na wewe yaani side mpaka side

Yoh napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Ati napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

My lady kata waba mi najua nakubamba
Nalaiter ruka kamba ju kwa bed katakubamba
Cheki nina kadem kasupuu, kamkamba, kanini
Amekam tu home nanii, nakaskiza

My lady tu huniamini
Speed ni ya gari kwanza tuseme ferrari
Sina ata fare nina doh ya makali
Mazigizaga zogo ninamwaga tu bahati

Uwache tu maringo, my lady niko single
Nimekam tu hapa mi nadai tumingle
Later in the party mi nadai tu ujiggle
Sitakuwa tu idle nitakuwa tu kajingjong
So, utaways nitakupea mamunju
Lakini morning area nitakupea tu marungu
After that then utaniita mbuyu
Alafu maybe urudi kwenyu Kikuyu

Yoh napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Ati napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Msupa bila makeup hajajipodoa
Napenda hiyo nguo yake ya madoadoa
Kwako nimechizi nafeel tu vipoa
Leo tu kejani ni lazima utatoa
Kama tu mahindi ni lazima kumndondoa
Nataka nikutunze ka Masai na fimbo
Nataka nikusuke nikuandikie wimbo
Vaileti, kwangu kukupenda ikue mtindo

Napenda hips na malips, hiyo umbo
Napenda ukikatika, tingiza kiuno
Dunda tu na mdundo
Kwela ka ya Vera na Huddah inavutia 
Fifi karibia, videvu adisia
Msupa my miss, nikuvalishe tu maring
Ka daily tu pamoja, along tukisip
Tuko tu vacation, kwa boat kwenye sea

Yoh napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Ati napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Napenda ukinidiss my miss
Na bado kuna vile iyo lips nitaikiss
Mahater kam wrong pia hao nitawadiss
Piga ata picha na useme ata tease

Utapata, love yetu baby nimedata 
Hautahata, baby kila kitu nitaleta
Na ukipita, nipate tu kwa keja 
Nitashukuru tu God kwa mahater

Nataka nikusuke nikitumia vitenzi
Kwako nimechizi natumia vitenzi
Tangu zile enzi
Hiyo sura yako inamulika tu ka mwezi

Mpenzi my miss, ninataka nikukiss
Nikumess, nikubless 
Nikuadvertise kwa press empress
Sema yes, sema yes, wakali wao si unajua
Until the rest

Yoh napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Ati napenda malift juu ya vile unakaa
Napenda mahips juu ya vile unavyovaa
Ma ukinikiss juu ka daily nakumiss
Gal am your mister, you are my miss

Ecouter

A Propos de "My Miss"

Album : My Miss (Single)
Année de Sortie : 2019
Copyright : (c) 2019
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Aug 26 , 2019

Plus de Lyrics de WAKALI WAO

WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl