WAKALI WAO Mboka ni Mboka cover image

Paroles de Mboka ni Mboka

Paroles de Mboka ni Mboka Par WAKALI WAO


Hustle ni bidii na kujiamini
Na kusukuma 
Mboka ni mboka si ni namna hio

Ati wera wera wera
Wera na Ruto mi nimeigwera
Ati wera wera wera
Wera na Ruto mi nimeigwera

Ati mboka mboka na Ruto ni mboka
Mboka na Rutto vijana kuomoka
Mboka mboka na Ruto ni mboka
Hawawezi kutushinda ju wote wanaogopa

Ati mboka mboka na Ruto ni mboka
Mboka na Rutto vijana kuomoka
Mboka mboka na Ruto ni mboka
Hawawezi kutushinda ju wote wanaogopa

Shughli kubwa hapa ndogo jua zote zinamatter
Gengetones kings tushakubalia father ju
Umetupa wera hustle hakuna matata
Siku hizi pia church naweza toa sadaka

We ndo number 2 lakini soon number one
Tunakutambua hatutaki another one
Mumepea ma maddam na mayouth miradi
Na mambleina wazidi wakipigwa radi

Mi napendaga DP ju anakuwanga na bidii
I wish ningeweza kumpea zawadi
Nikimpa pongezi nampea kwa wingi
Kwa kutolea mayouth maform kabaridi

Ati mboka mboka na Ruto ni mboka
Mboka na Rutto vijana kuomoka
Mboka mboka na Ruto ni mboka
Hawawezi kutushinda ju wote wanaogopa

Ati mboka mboka na Ruto ni mboka
Mboka na Rutto vijana kuomoka
Mboka mboka na Ruto ni mboka
Hawawezi kutushinda ju wote wanaogopa

Ati daily niko mboka nikitafta mareka
Natia bidii nikiamini zitajileta
Macheda ganji ah firi niwache kuteseka
Niwahi kasuku mbulu pia na mkeka

Mzito bazenga, Ruto jenerali
Nasema ni asanti kwa kutupa serikali
Wengine kutulinda lakini ni wafisadi
Mradi na wote wapinzani

Ruto tutalia mpaka lini
Ruto na ni we tunaamini
Hii ni doba ya wathii wako wera wakisaka
Penye uko unaskiza hope itakubamba
Ukuwe uko wera ya kibanda ama nyanya
Mjengo makanga, jasho yako unahustle 
Bado unamanga

Ati wera wera wera
Wera na Ruto mi nimeigwera
Ati wera wera wera
Wera na Ruto mi nimeigwera

Ati mboka mboka na Ruto ni mboka
Mboka na Rutto vijana kuomoka
Mboka mboka na Ruto ni mboka
Hawawezi kutushinda ju wote wanaogopa

Ati mboka mboka na Ruto ni mboka
Mboka na Rutto vijana kuomoka
Mboka mboka na Ruto ni mboka
Hawawezi kutushinda ju wote wanaogopa

Ecouter

A Propos de "Mboka ni Mboka"

Album : Mboka ni Mboka (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Sep 28 , 2020

Plus de Lyrics de WAKALI WAO

WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl