
Paroles de Maziwa
Paroles de Maziwa Par ETHAN MUZIKI
Mlango wangu uko wazi
Sina siri zakuficha
Nimegundua wasiwasi
Ndiyo ya nisimamisha
Kupepea, ninajisimamisha
Kupepea, nitajirekebisha
Kuna maziwa
Kuna maziwa
Mwisho wa safari
Kuna maziwa
Kuna maziwa
Mwisho wa safari
Kuna majambazi
Wanajaribu kunitisha
Wamekita kambi
Wakichungulia kwa dirisha
Ngojea, natafuta pesa niwahonge
Pesa onge
Ngojea, mlango wazi msigonge
Kuna maziwa
Kuna maziwa
Mwisho wa safari
Kuna maziwa
Kuna maziwa
Mwisho wa safari
Safari, I'm still far away
Still far away
I'm still far away
Safari, I'm still far away
Still far away
I'm still far
Natarajia kuna maziwa
Mwisho wa safari
Ecouter
A Propos de "Maziwa"
Plus de Lyrics de ETHAN MUZIKI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl