WAKADINALI XXXL cover image

Paroles de XXXL

Wakadinali (Domani Munga, Scar Mkadinali et Sewersydaa) sort son nouveau single "XXXL" ...

Paroles de XXXL Par WAKADINALI


XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

[Sewersydaa Mkadinali]
Mass tulipitia kando na wasoro washaandika journal
Ati mass imegeuka Thanos kila hustle naingiza muscle
Nyongolo kwa dancehall next thing gunshot
Tulimtoka tu viclean before shit jo iget real
Hatunanga saa hata minutes si ni team no sleep
Grills flani zimerunda mgyalis huko Paris
Njeri ashakuwa addict 

Friday clubbing sunday tunaona padre
Sai tunaongoja verdict ati ju ya gun tulicarry
Though according to ballistics inaonyesha ulimiss it
Na unachocha body count ati imefika sitini
CID walicause kipindi ati walikuwa wamekujia mwili
Pop boy DCI walikushow ucheze chini

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

[Domani Munga Mkadinali]
Rong Rende ndio logo tunawapa moto ka kifaru ndogo
Leta utiaji uingizwe joto, mshikaji utageuzwa mshikaki na Arosto
Ganji mi huonanga kwa ndoto  mi sina mchoro mans mi niko msoto
Manzi alihepa na mtoto sababu ya botolo nimebaki na alosto

Stage mi hupandaga na condom, gyals kamisi wanazirusha random
Nitawafanya vile alifanya kaldrogo kalisi mother of dragons
Leta mengo mi nilete vita, sababu ka ni damu itatiririka
Ka ni bundles zangu ni ma giga, mi si binadamu enda ita Jesus

Manzi yako hu huniita dzaddy, ati Munga mi ni papi
Pullup na ngeus hatari na wala si mlami her melanin popping
Nimekam thru kama atheist, kill ndani ya mosco mwarabu ndo racist
Kill kila kitu vi authentic, sare DCI wakistudy hizo forensics

Stori ya kutoka kehuti, kwani nimekimbisha wangapi?
Deep hizi streets bila utani, ops wako wapi nimejipin maukapi
Mi huitwa mr macontrobands na sitaki mabishano
Mi huitwa Carlos Gambino, lucky Luciano

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

[Scar Mkadinali]
XXXL ndio jacket  kama ni ya wathi haiko kwa market
Fala alikuja na babake ndwanzi wote walirudi na ma crutches
Ni visimple Boy ndio manake si tuko mabangi, waragi za masatchet
Msupa but yeye huwaga ratchet rende ilimdishi tulimfanyaga buffet
Hii ni Rong Rende kumamake kuzoza lazima coz nigga we popping
Mbona we unabanja na masanse kafanye Mpasho unapenda reporting

Bonga hapo Insta na usichoke lakini hizi streets usitokee
Waliuma bro eye woshe, lakini si tulilipa bond now issokay
Sifuatangi weather ah-ah kwa kila weather nadunganga weather
Pale Egesa tunarowesa vibe imewe we-we-weza 

Buda we rush it, uliza Echesa
Ungetulia ni vile huna pesa
Ni hater na ati ananipenda hio return to sender
Hii ni ya mamorio anzenza wale wameshika mangondo
Hii ni ya wasupa wamebeba kubeba this year napita na Rono
Kimya kimya buda usibonge whatever 
Kimya niskize Inooro kwanza we fala nifanyie favour
Zima hio fegi niwashe kikoro

Fvck  it, fala tulimpata offside
Ngumi mpaka ameze taxin, kumbe we hunanga nguvu ukiwa offline
Malapi tuliibaga hostel, tulienda kuziuza wholesale
Itabidi mmekula mabakshish 

Rende ikidishi unajuaga we all fine 
So huwezi nishow namix 
Naingiza biashara ndani ya form
Backstage nina mzinga ya chrome
Sigara na jaba ya Kariakor
Hio ndo hali ya show
Wachana na mimi pambana na hali yako
Siwezi marinate poko
Siwezi jichocha na ma-reaction
Boom! 

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

XXXL ndio jacket 
Nimego local sijai skia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it big kucheza Lotto

Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow inapiga kigoco
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nitim hio ndoto

Ecouter

A Propos de "XXXL"

Album : XXXL (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 Rong Rende
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Oct 14 , 2020

Plus de lyrics de l'album Victims of Madness

Plus de Lyrics de WAKADINALI

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl