MANDO Green cover image

Paroles de Green

Paroles de Green Par MANDO


Grrt, grtt...
Mi hukam na stick na sichezi polo
This time nakam tu solo
Flex hio muscle niite Bolo
Kwa field niko gased ka Ngolo

Black on black niite zoro
Na gwil ni size ya koro
Ka ni doh unaeza borrow 
Na chain na rock ni goro

Baby baby mi amor
Anapendaga hii tu flow
Nampatia give him nice and slow
Anasemanga mi ndio pro

Na gang ni bad na bado strong
Hatuwezi toka kwa throne
Na ka si doh am not involved
Hio story ni adios

Green si unajua to the bone
420 niko mandom
Ka ni Mando unajua ni boss
Na bado niko na sauce
Ka ni drill unajua siforce
Mahater wanadu the most
Kambi moto usitry ku cross
Utajipata tu kwa box

Green si unajua to the bone
420 niko mandom
Ka ni Mando unajua ni boss
Na bado niko na sauce
Ka ni drill unajua siforce
Mahater wanadu the most
Kambi moto usitry ku cross
Utajipata tu kwa box

254 ndio drill inasimmer
Na gang inaget more thicker
GTA tunafight this beef 
This side tunakeep it killy

Inakuanga easy like 123
Walichanga blade wakafold
Poke and poke na hii si FB
Like Mando why you cold

Pave down bitch anasing along
Kwa kila stroke ninamgive
Anajua mi humuonyesha mi ndio don
Na kila time niko steam

Na leo niko itchy design ya junkie
Na blade iko ready kudub
This scene naifanya too ugly
Always naifanya burny

Green si unajua to the bone
420 niko mandom
Ka ni Mando unajua ni boss
Na bado niko na sauce
Ka ni drill unajua siforce
Mahater wanadu the most
Kambi moto usitry ku cross
Utajipata tu kwa box

Green si unajua to the bone
420 niko mandom
Ka ni Mando unajua ni boss
Na bado niko na sauce
Ka ni drill unajua siforce
Mahater wanadu the most
Kambi moto usitry ku cross
Utajipata tu kwa box

Ecouter

A Propos de "Green"

Album : Green (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Dec 28 , 2021

Plus de Lyrics de MANDO

MANDO
GTA
MANDO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl