WILLY PAUL Moyo cover image

Paroles de Moyo

Paroles de Moyo Par WILLY PAUL


Kuna muda unakaa
Unapata unamuwaza sana mtu flani (pozee)
Yani usipo muona hata sekunde moja (saldido)
Una gonjeka vibaya

Mmm nashangaa
Mbona nahisi baridi
Usiku mwenzako silali
Mchana hata sitembei
Wamenipima ugonjwa wa moyo
Wamesema imejaa simanzi
Niarakishe nipone haraka
Sitamake it (sitamake it)

Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby, uu baby
Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby, uu baby

Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)

Nimekuwaaaza mpaka nikaganda uboongo
Ubongo unalipuka
Nafsi inanisuta
Eeeee
Uu wamefanya utafiti wa ndani
Wakapata niwe ndiwe dawa
Yakutibu mutima wangu maa...ma
Usiwache nife hivi ma...ma

Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby uu baby
Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby uu baby

Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)

Uu... Baby
Washanambia nikuwachage
Kama mate nikutemage...
Bado nakupenda tu day bay day
(bado nakupenda tu day bay day)
Karibu kukuwacha siwezi...
Akilini hautoki
Kweli baby we ndo pedi wa mapenzii (pedi wa mapenzi)

Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby, uu baby
Uuu wewe ndo panadol
My paracetamol
Uu baby uu baby

Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)
Unasumbua moyo
Unasumbua (moyo)

Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mo mo mo mo moyo
Mmm mo mo mo moyo

Ecouter

A Propos de "Moyo"

Album : Moyo (Single)
Année de Sortie : 2022
Ajouté par : Farida
Published : Aug 20 , 2022

Plus de Lyrics de WILLY PAUL

WILLY PAUL
WILLY PAUL
WILLY PAUL
WILLY PAUL

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl