Paroles de Sukuma Wiki
Paroles de Sukuma Wiki Par WABESH
Jah nashukuru kwa hichi nilichopata(Amen)
Nipo kwenye giza bado mwanga hujawaka(Amen)
Wamesema true blood niko tu Dar
Maisha ni magumu yaani too much
Zombie ninyonge kiu yaani too tight
Maisha yetu three figures yaani sio fresh
Yeah we bounce it and we keep it real
Wabesh si ndio zetu we ain't faking
Sukuma wiki kwenye menu kama keki
After bora inanifanya sichoweki
Hey hey everyday, everyday got pain
Uguu sisogei, usawa umekaba nyama imepanda bei
Mboga nimepata mbali
Kwa mwanangu sadari
Narudi chimbo sina habari
My nigga wanasonga ugali
Kama kuponda kokoto
Shida nami kulwa na doto
Life langu local
Nitatoka kwa beat na vocal
Nishapita machaka kusaka
Kutaka kupata kuwaka
Nakula nafaka mboga haijachacha
Sina hata shaka(Shaka)
Cheki navyolata bundo navyobaka
Navuka mipaka kama Waka Flocka
Chumba kinafuka vitu vinatoka
Sichagui kazi napiga mzigo
Ili mradi mkono kinywani
Ingawa life tough tupo ghetto
Mtojo chambua mboga majani
Sukuma wiki(Sukuma)
Ugali na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Sukuma wiki(Sukuma)
Fuata na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Sukuma wiki(Sukuma)
Ugali na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Sukuma wiki(Sukuma)
Fuata na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Wiki wiki sukuma
Jumamosi hadi ijumaa
Menu tumeshaiandaa
Aaah..sukuma wiki ni balaa
Sukuma sukuma sukuma wiki mzima
Sukuma sukuma sukuma kama
Kumsukuma mlevi kwenye mlima
Sukuma sukuma sukuma wiki mzima
Sukuma sukuma sukuma wiki imedona
Hali ni tete Bota nasukuma wiki
Naleta maseke wapi nitapata riziki
Chagua bega, chagua bega kulia kushoto
Chambua sukuma wiki mama watoto tukiwa ghetto
Nimechanua sukuma wiki
Ndio mboga yetu tangu utoto
Ili mradi ikatike wiki
Tushazoea kwetu msoto
Tumewapiga wao fullu mabao
Nishapanda mazao nasubiri mavoo
Kufuata moto huu changanya miguu
Maisha kupigana ka mchezo kungfu
Sukuma wiki(Sukuma)
Ugali na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Sukuma wiki(Sukuma)
Fuata na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Sukuma wiki(Sukuma)
Ugali na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Sukuma wiki(Sukuma)
Fuata na sukuma wiki(Na sukuma wiki)
Ecouter
A Propos de "Sukuma Wiki"
Plus de Lyrics de WABESH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl