
Paroles de Nikupe
...
Paroles de Nikupe Par Zee Cute
Zee baby
Ahaaa
Enjini imefia hapa nimezima
Hatoki mtu kwa Mkapa nakufa mazima
Nimejitoa sadaka mwili mzima
Kwangu sina mipaka pita kwenye mtima
Dereva wangu niendeshe
Moyo wangu hauna bima
Mapenzi nikopeshe
My Cherry (my Cherry)
My wangu (my wangu)
Wangu wa kweli (wa kweli)
Roho yangu (roho yangu)
Nikupe
Sina mali moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua (nikupe)
Roho yangu moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua baby
Asali asali si tamu (ah ah)
Kuliko penzi lako baby si tamu (ah ah)
Ni hatari kukuacha haramu (ah ah)
Mimi nawe baby damu damu
Mimi sijui nini wataniambia
Mwenzako mimi wewe ndio unanijulia
My Cherry (my Cherry)
My wangu (my wangu)
Wangu wa kweli (wa kweli)
Roho yangu (roho yangu)
Nikupe
Sina mali moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua (nikupe)
Roho yangu moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua baby
Ecouter
A Propos de "Nikupe"
Plus de Lyrics de Zee Cute
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl