
Paroles de Liwe Liwalo (Remix)
...
Paroles de Liwe Liwalo (Remix) Par VIJANA BARUBARU
I look around the room, pande zote natazama
Maneno ni matatu tu, I deserve this
Umenipenda bila sababu, ukanipa sababu ya kupenda
Heart so pure you’re a saint, heaven’s gift to me
My father anasema, a man is a good addition
Your mother ndio apate wajukuu, ni lazima tusivunje mwiko
Liwe liwalo ntakuoa kwa amani,
Bila, mvurugano we’ll protect our family
My pillar, liwe liwalo ntakuoa kwa amani
Bila, mvurugano we’ll protect our family
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Yoh yoh yoh yoh
Speak now or forever hold your peace imechukuliwa serious
Harusi tumeichukulia loan but clearly, they still don’t pity us
Ati mahari imechunwa mahali? Kwani fahali walifika sio 50 plus?
Hio ni issue tunaeza solve our love can speak for us
One father anasema, ni lazima tufuate traditions (traditions)
Another father anasema hio ni dhambi juu Mungu alimuonsha vision
Ila, Liwe liwalo ntakuoa kwa amani,
Bila, mvurugano we’ll protect our family
Ila, Liwe liwalo ntakuoa kwa amani
Bila, mvurugano we’ll protect our family
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Usijichokeshe mabega, kila mtu akona baggage
Kiti ya therapist ni place poa ya kuzidump
Gas ikiisha time mfuko ikona damage
Ugali na maji pia ni food hatuezi starve
Ukituma wrong text, kudelete sio lazima
Hakuna moto unaeza washa mapenzi ishindwe kuzima
Nikifa, God forbid, hauwezinyimwa title deed
Another family haitatokea best believe
Viombo ukiosha me ntarinse, nikuhelp kuosha jeans,
Setting a good example for the kids
Wazazi pia ni lovers they can kiss, nionyeshe your expertise,
Self-employed, na kazi ni kukuplease,
Watu wenyu ni wetu na wetu ni wenyu pia,
Draw the line, communicate, ukiona wana interfere,
Jografia ikiingilia nikose kuwa near
Bado nina nia ya kukuwania kihisia so
Ecouter
A Propos de "Liwe Liwalo (Remix)"
Plus de Lyrics de VIJANA BARUBARU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl