
Paroles de Amanda
...
Paroles de Amanda Par VIJANA BARUBARU
Amanda Amanda Amanda Amanda, under
Amanda Amanda Amanda Amanda, under
Vile unawhine unanilegeza, utadhani nimekunywa mvinyo
Cheki nakutaka na finyo, keletu ndunenge mindo
Baby this gangster is falling, tell what you have is for me
Nilikuwanga pastor before this, look how you got me sinning
I got my eyes on you (you), tell me nini una do (do)
Nadai kukutrace leo jioni, misbehave with you you (you)
Kile na feel ni true (true), unaniweka juu (juu)
Nadai kukutrace leo jioni, misbehave with you (you)
Slippery watery, zetu za ndani
Under water, under water
Slippery watery, michezo hodari
Under water, under water (under water)
Amanda Amanda Amanda Amanda, under underwater
Amanda Amanda Amanda Amanda, under underwater
Fala, mjinga, akiwhine tu ni shingo napinda
Akipita ni fimbo inavimba
Akiitika ni mimba inamwita
Fala, mjinga, akinipa sahau ata kinga
Sitaficha hiyo mali ni cleaner
Zima zima taa ni masaa ya kuririma
Baby girl kam tucheze lowkey, tucheze incognito
Nimenoki polisi ki Bobby Valentino
Na leo hatutoki, tuko ndakas
Leo hatutoki
Kana kololo nya nguluni tusicheze kalongo
Yeiya woo ukicheza na Kioko
Yeiya woo kiki dhi gi jomoko yawa
Slippery watery, zetu za ndani
Under water, under water
Slippery watery, michezo hodari
Under water, under water (under water)
Amanda Amanda Amanda Amanda, under underwater
Amanda Amanda Amanda Amanda, under underwater
I got my eyes on you (you), tell me nini una do (do)
Under water, under water
Kile na feel ni true (true), unaniweka juu (juu)
Under water, under water
Ecouter
A Propos de "Amanda"
Plus de Lyrics de VIJANA BARUBARU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl