Paroles de Pressure
Paroles de Pressure Par SWALLEH GEFFOR
Eeey...eey..woah...eeey
Kitale in the building eey
Swaash Gang, Mae Fam....
Eeey...eey..woah...eeey
Bado nadai kuvaa
Bado nadai kukaa
Maisha mazuri balaa
Ila pesa ndio hakunaa
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Bado nadai kuvaa
Bado nadai kukaa
Maisha mazuri balaa
Ila pesa ndio hakunaa
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Am running for the money, everyday am like woah
Everyday on the hustle, sina time ya kudoz
Nisha change from family first to money first
No connection, ju ile love, ilisha lost
Hizo hugs ziko cold kama ghost
Pray everyday, God a-open hizo doors
Suicidal ni kama nina dem mkamba
Kitu me nadai hapa buda si ni namba
Huko mtaani wanasema
Swalleh Geffor si alihama bana
Chuki mingi ni kama unanijua bana
Mambo yangu unachunguza ni ya nini bwana
Bado nadai kuvaa
Bado nadai kukaa
Maisha mazuri balaa
Ila pesa ndio hakunaa
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Bado nadai kuvaa
Bado nadai kukaa
Maisha mazuri balaa
Ila pesa ndio hakunaa
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Hakuna kitu me naogopa kama gold diggers
Wakijua kwanza ati you are the new winner
Kama Bolt, run, run, run
Toka nduki, run, run, run
Man
Check out their faces now
They don't wanna see you win, wamebonda now
Na ukijaribu kusonga wanasonga nao(eey)
Watashindwa na kurada, watatupa mbao
Hey
Check out their faces now
They don't wanna see you win, wamebonda now
Na ukijaribu kusonga wanasonga nao(eey)
Watashindwa na kurada, watatupa mbao
Bado nadai kuvaa
Bado nadai kukaa
Maisha mazuri balaa
Ila pesa ndio hakunaa
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Bado nadai kuvaa
Bado nadai kukaa
Maisha mazuri balaa
Ila pesa ndio hakunaa
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Pressure, pressure
Hey
Kitale in the building eey
Ecouter
A Propos de "Pressure"
Plus de Lyrics de SWALLEH GEFFOR
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl