Paroles de Wewe Ndio Manufaa
Paroles de Wewe Ndio Manufaa Par DK KWENYE BEAT
Ata nikiwa na madeni, bila mapeni
Boo haunisemi, Uko na mi daily
Niki act silly, nikicatch feelings
Nikikosa deali, shida namba mbili
Niko sure uko nami, nyingine kali
Bila sisimami, bila siwezani
Zaidi ya ganji na mali
Na hali uko place flani
Hawatuwezi me na we ni army
Sitetemeki, wanipa amani
Bila wewe si itakaa funny
Bila wewe si itakaa funny
Kule tumetoka ndio far
Ndio far, ndio far, ndio far
Kwangu wewe ndio manufaa
Manufaa, manufaa, manufaa
Kule tumetoka ndio far
Ndio far, ndio far, ndio far
Kwangu wewe ndio manufaa
Manufaa, manufaa, manufaa
Nimepitia milima na mabonde
Adui si karibu ani con de
Kimiujiza umefanya nisikonde
Uko nami mia moja ndonge
Ka mshale najitoa unichonge
Mizigo zote naziwacha ndio nisonge
Naificha wanafiki wasisome
Kwa magoti ndio picha nisichome
(Nisichome)
Maandiko ni lazima me nisome
Niko juu bila kutumia pombe
Upendo wa kabila na tabaka zote
Mambo ya vita ilibidi mule konde
Kule tumetoka ndio far
Ndio far, ndio far, ndio far
Kwangu wewe ndio manufaa
Manufaa, manufaa, manufaa
Kule tumetoka ndio far
Ndio far, ndio far, ndio far
Kwangu wewe ndio manufaa
Manufaa, manufaa, manufaa
Maandiko ni lazima me nisome
Niko juu bila kutumia pombe
Upendo wa kabila na tabaka zote
Mambo ya vita ilibidi me nikome
Maandiko ni lazima me nisome
Niko juu bila kutumia pombe
Upendo wa kabila na tabaka zote
Mambo ya vita ilibidi me nikome
Mmmh....
Wewe ndio rafiki wa kweli tumaini
Kule tumetoka ndio far
Ndio far, ndio far, ndio far
Kwangu wewe ndio manufaa
Manufaa, manufaa, manufaa
Kule tumetoka ndio far
Ndio far, ndio far, ndio far
Kwangu wewe ndio manufaa
Manufaa, manufaa, manufaa
Ni wewe
Tumaini letu la mwisho
Ni wewe
(Its Drummer)
Ecouter
A Propos de "Wewe Ndio Manufaa"
Plus de Lyrics de DK KWENYE BEAT
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl