DK KWENYE BEAT Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) cover image

Paroles de Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply)

Paroles de Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) Par DK KWENYE BEAT


Nairobi City King Kong
Uh naskia mtoto wa Diana unaroroa eh
Unahukumu watu umekuwa Mungu eh
Unajichocha unajua buda ya Heaven ni nani eh
Umesema yako niruhusu niseme yangu eh

Naskia Ringtone chairman umemvisha kamisi
Daddy Owen aende Radio Jambo arudiane na bibi
Kabi wa Jesus sijui unamuuliza nini
Ata ka alisosi cuzo wachana na sisi

Unasema Guardian ameoa mtu anafaa kuwa guardian wake
Wako akifika 50 atakaa kama wake
Ati Seed alikataa mimba yake 
Yaani bado unaamini Edgar na wanawake

Niko labour nazalisha wanao uchungu na mimi
After Mungu bahati niogope mimi
Afadhali niskie njaa nisikuskize mimi
Hauna sauti ni soul tu na umesahau dini

Mtoto wa mama sijui umekuwa mtoto wa nani?
Uliacha kuimbia  baba sijui unaimbia akina nani?
Izo vitu unafanya usiweke injili ndani
Unajitafutia laana umekuwa mtu bladifakin

Ecouter

A Propos de "Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply)"

Album : Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 09 , 2021

Plus de Lyrics de DK KWENYE BEAT

DK KWENYE BEAT

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl