Paroles de Glory
Paroles de Glory Par STIVO SIMPLE BOY
Mighty Lord
I give you glory
Mkostii nipee beat
Haaaa haaaaah
Is your boy Stivo Simple Boy
Ndio manake,
[CHORUS]
Glory glory glory glory glory..glory
Glory glory glory glory glory..glory
Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
Napiga saluti pahali mi naenda, no worry
Glory glory glory glory glory..glory
Glory glory glory glory glory..glory
Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
Napiga saluti mahali mi naenda no worry
[VERSE 1]
Mighty Lord, I give you glory
You know me better, tangu utotoni
Mighty warrior, Jehovah Rafa
Jehovah Nisi is your is your Name
I kneel on my knees
I call your name Father
Holy Ghost fire, the devil is a liar
Is trying to pull me down
But you lift me higher
That's why I lift you higher
Jehovah Adonai,Aki why lie
Your word is true, you never lie
Mambo yako poa, yaani iko sawa sawa
Lord of universe, your things are marvelous
No one can copycat
Siku zote umelinda, mlima na mabonde
Wewe unanijali, kwa kila hali
Kwako napiga kambi
Damu yako imenilinda mi
I don't worry, because you're worthy
[CHORUS]
Glory glory glory glory glory..glory
Glory glory glory glory glory..glory
Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
Napiga saluti pahali mi naenda, no worry
Glory glory glory glory glory..glory
Glory glory glory glory glory..glory
Napiga saluti pahali amenitoa, ni aaaa
[VERSE 2]
Wewe si kiatu, usikubali kuwekwa chini
Fuata ndoto zako, manze kuwa na ujasiri
Weka Mungu mbele mambo itakua fity
Usiwe mkatili maringo ni ya nini
Kwa uzembe sema NO NO
Zidi kujituma more more
Usiseme hauwezi, manze kamilsha iyo ndoto
Mola ako na mpango, kukutumia ka mfano
Wakikuona watakua wanaitisha maphoto
Nalala kwa kitanda ndogo nadream big
From zero to hero
From nothing to something
Nimeshika signal vile mi ukuwa busy
Kwa studio natoa ngoma niwashike kama homa
Nashukuru wale wrote wanao nisupporti
Na kunisimamia ka wakili kwa korti
Nguvu nimebeba siwai sitawaangusha
Kutoka Kenya, Kampala hadi Kule Arusha
[CHORUS]
Glory glory glory glory glory..glory
Glory glory glory glory glory..glory
Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
Napiga saluti pahali mi naenda, no worry
Glory glory glory glory glory..glory
Glory glory glory glory glory..glory,
Napiga saluti pahali amenitoa, ni ngori
Napiga saluti pahali mi naenda, no worry
Ecouter
A Propos de "Glory"
Plus de Lyrics de STIVO SIMPLE BOY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl