Paroles de Makasisi
Paroles de Makasisi Par STIVO SIMPLE BOY
Stevo Simple Boy
Ndio manaake
Ogeeey
Ewe baba mi naomba utusame ewe baba
Mi naomba utusame ewe mungu
Mi naomba utusame ewe Yahwe
Mi naomba utusame ewe mungu
Oyaa pause vipi makasis
Naskia skuizi mumeshachafua dini
Hekalu la mungu blashara na injili
Pastor tajiri waumini masikini
Usipo toa sadaka unaitwa we jangili
Oyaa kasisi nyota shiingi ngapi
Nikuje na ngapi au mademu wangapi
Mke wangu alienda kasha sijamwona tena
Naskia anateseka hana cha kumega
Ila nisipomwona tena mlaze mahali pema
Ewe baba mi naomba utusame ewe baba
Mi naomba utusame ewe mungu
Mi naomba utusame ewe Yahwe
Mi naomba utusame ewe mungu
Kuna badhi ya makasisi
Walipewa kibali na mwenyezi mungu
Ili wahubiri
Injili ya mwenyezi mungu
Badala ya injili wanaubiru uwongo na neno la mungu
Wanapiga domo domo nikama kasuku
Wanataja jina la mungu ili wawe matajiri
Hawana nidhamu, hawana adabu
Huku wanajisifu eti hao ni wakuu
Wanajifanya washupavu kumbe ni wapumbavu
Wanafanya miujiza ajabu ajabu
Hilituwasifu wanaabudu sanamu
Oyaa kasisi nyota shiingi ngapi
Nikuje na ngapi au mademu wangapi
Mke wangu alienda sijamwona tena
Naskia anateseka hana cha kumega
Ila nisipomwona tena mlaze mahali pema
Ewe baba mi naomba utusame ewe baba
Mi naomba utusame ewe mungu
Mi naomba utusame ewe Yahwe
Mi naomba utusame ewe mungu
Mi naomba utusame ewe mungu
Mi naomba utusame ewe Yahwe
Mi naomba utusame ewe mungu
Ecouter
A Propos de "Makasisi "
Plus de Lyrics de STIVO SIMPLE BOY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl