Paroles de 4 na Kambao
Paroles de 4 na Kambao Par SEWER SYDAA
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Nijigawe shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Nijibwage shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Nijibwage shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Nijibwage shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Kaa rada jo usi-surface, Basata wametuma sanse
Malaya jua we ni serpent tu unatuma rumour ka parcel
Usijaribu kuibia maYahweh, utasinzia juu ya mawe
Scene ilifinyika Salem, mwili ikapelekwa Karen
Still heavy ka canter, we una circus ju ya hamper
Sapa ju walingoja Santa, wakatumiwa spy master
Virusi mi naingia kwa server, system yote imecrush ah
Labda uishi bila purpose ndo utadedi bila cash bro
East tunaishi na kashfa, beast aliangushiwa Nasra
Mazda iligeuzwa kichungi, Gaza amejipin vidungi
Apo unaeza kosa namba, ata ukijaribu comeback
Spy hao ka Itumbi time out ni kivumbi
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Ah siogopi vitisho
Naongojea hiyo siku ya mwisho
Sijai penda tour institution
Nilikuwa ninaskip tuition
Kijana mfupi nono round na si nutrition
Ako na keys to ignition(Rrrrrrr)
Niliamka four na kambao
Na nikalala five twenty nukta mbao
We ushai chill na mandawuo
Mkinywa jabe na ndondo mandao
East kuna mtaa zina mababi kibao
Hadi kamagera hawabebi na mbao
Mchele yako ina maji
Sijai kula pwani hivi wali pilau
Ati? Wali pilau
Yenye imewekwa limau
Umo kuna snitch aliivisha
Akaingia mlango kubwa
Tukaingia mlango ya nyuma
Nimeelevate East kuwashinda
Wakashindwa kwani Dosh ulihamia runda
Tukianikaga mahindi
Si huchinja kuku ikituharibia unga
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Nimeamka 4 na kambao(Mbao)
Ju bag shash kwa hao(Hao)
Time ya kunyanya is now(Now)
Ambia karao is how(How)
Sai navuka mkopo
Yaani nikipost na loan
Na roll na mbogi ya loan
Cheki mayai kwa pan
Kiuno ni kivuli ya gun
Cheza chini usiende chini
Ati uteleza ulimi
Fuata nyayo kama dini
Funga mdomo na kipini
Unabonga mingi ni ka una punani
Nigga kazae Pumwani
Kumbuka bana hii ni lani
Toka sa boy mtaani
Na Sewer Mkadinali
Vile tunazoza hatari
Leta fire, leta nari
Nigga usije na kiburi
Utatumwa ukacheki kaburi
Neno la mwisho kwaheri
Jua hii ka ni safari
Napiga moshi kama mali
Maheadi pomoni kichwani
Ecouter
A Propos de "4 na Kambao"
Plus de Lyrics de SEWER SYDAA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl