
Paroles de Asali Mbichi
...
Paroles de Asali Mbichi Par SAVARA
Savara savara savara
Savara na jay melody
Jay once again
Penzi lako tamu kama asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Penzi lako tamu kama matikiti
Oh tiki, kama tikiti
Asali mbichi, Asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Asali mbichi, Asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Chovya chovya
Chovya chovya mama
Nimenona
Nimenona sana
Umenisetiseti fiti mpaka wanashanga
Mali safi shika tikiti twende daresalama
Nimehakikisha kwamba everything taenda salama
Nimekamilisha sala msikitini piga dua I swear
I’ll just keep waiting, my mind is racing
Anticipating, when am I tasting
Penzi lako tamu kama asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Penzi lako tamu kama matikiti
Oh tiki, kama tikiti
Asali mbichi, Asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Asali mbichi, Asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Napigilia msumari nashikilia kweli kweli
Nawapatia habari hili penzi letu halifeli
Kama mapenzi yangekua bahari jingeweka meli
Tusafiri mi na wewe tuwaambie kwaheri
Nikiwa nawe akili sina hazipo
Mi naringa nimepima hazipo
Unauchanganya mtima hazipo
Mpaka nasahau jina alivyo
Penzi lako tamu kama asali mbichi
Oh mbichi Oh mbichi mbichi
Penzi lako tamu kama matikiti
Oh tiki, kama tikiti
Asali mbichi, Asali mbichi
Oh mbichi oh mbichi mbichi
Ecouter
A Propos de "Asali Mbichi"
Plus de Lyrics de SAVARA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl