Paroles de Set Me Free
Paroles de Set Me Free Par SAUTI SOL
Hivi bado nakumbuka
Nikiwa kijana
Ile bangi nilivuta
Pombe nilipewa kwa sana
Na wasichana walinipenda
Wengine walinikataa
Na hapa nilipoamka
Sikulala jana
Napiga densi usiku kucha
Vijana kwa wasichana
Na masiri zilipasuka
Wengi walizaana kwa sana
Na vijana wengi walikopa deni
Wapeleke slayqueen maskani
Wakatoanishwa bila kuonjeshwa
Wasaniii tuliponea
Naomba, naomba nizidi kijana
Naomba, naomba nizidi kijana
Naomba, naomba nizidi kijana
Woun't you set me free nizidi kijana
Kaja Facebook kaja Twitter
Kaja pia na Instagram
Wengi walibwaga moyo
Na picha za kutesa sana
Na walitesa tesa
Wazungu wanasemanga
Ati business and pleasure
Inasaidinga wazae kupunguza pressure
Vijana under pressure
Wasanii tuliponea
Naomba, nizidi kijana
Naomba, nizidi kijana
Naomba, nizidi kijana
Woun't you set me free nizidi kijana
Ecouter
A Propos de "Set Me Free"
Plus de lyrics de l'album Midnight Train
Plus de Lyrics de SAUTI SOL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl