SAILORS Weekendy cover image

Paroles de Weekendy

Paroles de Weekendy Par SAILORS


Uuuuuuuu Uuuuuuuuu...
Kenyongo hii pasi sio ya makaa
Hii pasi ni ya stima bana For Real!! 
Ni sailors, peke yao

(It's your favourite boy Kashkeed on the track)

Ni weekendy imefika na tuna dunda na
Shika jaba upite baze saka wasupa na
Tafta mali piga chumz saka mstiri na
Tujinyc si hadi watii sio dabonge na 

Leo club kwashika kwawaka
Na madem wamebeba kiwajaka
Dj cheza za Dabonge na Ghapuka
Ju madem wana-whine reggea dingehota

Kuna manzi amevalia kighetto
Cheki vile anachezea kiboko
Qoqos naye chini ameanza na vituko
Amechanganya tei na ndom no nie ndigehota
Tuthie!

Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!

Umuhulu-hulu, umuhuku-luku
Umuhulu-hulu, umuhuku-luku
Umuhulu-hulu, umuhuku-luku
Aah nduii, aaaah shkululu

Oya oya nina dai riz ya goro
Ninadai peddy ataniguza ndani ya ngoro
Lima madam chaser nina kitambla
Shika utam nyuma nina kibiangla

Dunga masilver mbogi ina udiangra
Roga mchawi jua kuna uganga
Penda ngwati kwani we ni mganga
Aah ahahaha kwni we ni mganga?

Ni weekendi imefika na tuna dunda na
Shika jaba upite baze saka wasupa na
Tafta mali piga chumz saka mstiri na
Tujinyc si hadi watii sio dabonge na 

Leo club kwashika kwawaka
Na madem wamebeba kiwajaka
Dj cheza za Dabonge na Ghapuka
Ju madem wana-whine reggea dingehota

Kuna manzi amevalia kighetto
Cheki vile anachezea kiboko
Qoqos naye chini ameanza na vituko
Amechanganya tei na ndom no nie ndigehota
Tuthie!

Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!

Hii koti ni baggy, baggy
Hii koti ni baggy, baggy
Imebeba bangi, bangi
Imebeba bangi, bangi

Hii koti ni ya para para
Hii koti ni ya para para
Kamehunyo ndio kung'ora ni kupara
Cheki nawang'ara yoh mi ni para

Pedi pedi zangu zawamedi
Zakung'ora najua utasteady
Mdogo mdogo hadi na uwetty
Kena kutu kanadai kitu

Ine ine mrosho hebu cheki
Wena dina kubwa ka ya nyuki
Inamia nikupige kiki
Kiki kiki kiki za matiti

Ni weekendy imefika na tuna dunda na
Shika jaba upite baze saka wasupa na
Tafta mali piga chumz saka mstiri na
Tujinyc si hadi watii sio dabonge na 

Leo club kwashika kwawaka
Na madem wamebeba kiwajaka
Dj cheza za Dabonge na Ghapuka
Ju madem wana-whine reggea dingehota

Kuna manzi amevalia kighetto
Cheki vile anachezea kiboko
Qoqos naye chini ameanza na vituko
Amechanganya tei na ndom no nie ndigehota
Tuthie!

Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!
Mmmh aah, Ndingehota!

Nidrop ie pin mama hare Wanjiku
Wacha niji-introduce tu na mathongo
Ka ni mboka mi hupiga tu pickpocketing
Na si ile ya wizi yaani pickpocketing
Can't cheat can die usicheat your guy
Ju pia ye anaweza onyeshwa thigh (Uko sure beib?)
Thigh ju pia ye anaweza onyeshwa thigh

Irriz what irriz
Irriz what irriz
Hahahahaha..!

Ecouter

A Propos de "Weekendy"

Album : Weekendy (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 MRX Media Limited.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jul 08 , 2020

Plus de Lyrics de SAILORS

SAILORS
SAILORS
SAILORS

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl