SAILORS Ni Tekenye cover image

Paroles de Ni Tekenye

  Play Video   Ecouter   Corriger  

Paroles de Ni Tekenye Par SAILORS

Sailors ft Nadia Mukami - Ni Tekenye lyrics

Yeah uuuuhh  uuuh
Yeah haha, yeah

(Vicky pon dis)

Kurugushu karagasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikwamia ka kutu
Limenishika nimesema tu masutu
Karibia chapter na unipige mamunju

Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)

Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)

Ah chibobo wangu, mhodari wangu
Chibobo wangu, mhodari wangu

Siwezi kukataa na kupenda 
Na bado naamini siwezi kukutenda
Kila day bana mi bado nakuwaza
Umefit roho yangu bado inakuwaza

Kukutext bundle ndo ilikuwa ni mablunder
Kuchapa wera daily kung'ang'ana kwa vibanda
Ulinipenda mi hata kuliko jana
Hata uulize mi siwezi kukukana

Ulinipenda vile tukimanga chapo dondo
Wakati sina doh nikibishana na kamongo
Mtaani ukipita na maboy wanatense
Nazidi kuwalenga ndo iweze kuwapain
Siwezi kukupima wewe sio mama pima
Itabidi nikubebe tu kabegani
Siwezi kukupima wewe sio mama pima
Itabidi nikubebe tu kabegani

Kurugushu karagasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikwamia ka kutu
Limenishika nimesema tu masutu
Karibia chapter na unipige mamunju

Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)

Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)

I want a boy with the ghetto loving
It's Nadia that you say you be wanting
Nitekenye nitekeke
One we I don't need to shake it

You say that you wanting my body
Tonight you are touching my body
In return I'll be bouncing my body
Squeezing my body, calling me hunny

You say that you wanting my body
Tonight you are touching my body
In return I'll be bouncing my body
Squeezing my body, calling me hunny

Nikaholly holly toto ni ka holly
Ni ka dolly dolly toto ni kadolly
Nimechizi with the love sijiwezi
Niko stenje kuripoti juu ya wizi

Moyo wangu hukang'oa na mizizi
Penzi langu hukalipa na mandazi
I can't deny nilikupenda tu kichizi
Kukufuata fuata tu kama mbuzi

Vako zako sweet baby zaning'ora
Kuna venye wachachisha ka kang'ora
Ukifika kwenye club wa-wa-wanarora

Kurugushu karagasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikwamia ka kutu
Limenishika nimesema tu masutu
Karibia chapter na unipige mamunju

Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)

Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)

My beiby gal naomba usikate tenje
Last word ni kukushow ni ati niko stenje
Ata nimeomba afande, afande menje
Ni mateso huku tu nang'ang'ana
Kukupenda hata hatukubishana
Mbona huenda hata hatukulimana
Roho yangu imekukwachu
But mi ndo nitakuwa wako wa rachu

Kurugushu karagasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikwamia ka kutu
Limenishika nimesema tu masutu
Karibia chapter na unipige mamunju

Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)
Nizungushie wendo, nizungushie weee(Weee)

Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)
Ni tekenye na wendo, ni tekenye nekee(Keee)

Ah chibobo wangu, mhodari wangu
Chibobo wangu, mhodari wangu

Ecouter

A Propos de "Ni Tekenye"

Album : Nitekenye (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 MRX Media.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jan 20 , 2020

Plus de Lyrics de SAILORS

SAILORS
SAILORS
SAILORS

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

See alsoVous aimeriez sûrementEssayez l'application Mobile

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus riche collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl