Rayvanny et Zuchu, de l'artiste de la WCB, collaborent pour la première fois en livran...

Paroles de Number One Par RAYVANNY


(Ayolizer)
(Zest is on this beat Ladies and gentlemen)

Mmmh macho yalikuona, moyo ukakuchagua
Mdomo ukasema nakupenda aah
Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua
Maumivu yamekwenda

Mi ni zawadi nilopewa
Macho nipepese wapi
Mi kipofu kwako sioni

Penzi limetaradadi, napepewa
Harufu ya marashi rashi
Nikitouch touch shingoni

Hii! Uvae baibui kanga
Viatu vya kuchuchumia kangaroo
Kisima tui Tanga 
We huba nifukizia pambe tu

Ukizungushia shanga
Inashuka inapanda chini juu
Nishatafuna karanga
Asa chumba ndo kiwanda watoto tu (Iyee iyee)

My number one, you're my number one
My number one, you're my only one
My number one, you're my number one
My number one, you're my only one

[Zuchu]
Lalala, la la la
La- la-la mmmh

Hausukumi damu moyo
Unasukuma upendo wangu
Niko mahabani mambo sawa
Sawaa...

Penzi nalimung'unya kibogoyo
Nimepata size yangu
Yaani nalioga sio kunawa
Nawaa...

Firimbi nitapuliza
Kuita ndege waje
Raha zimefululiza 
Kwako natokaje?

Hadi bububu umepitiliza
Tuko kwa bibi paje
Taratibu unaniliza baba

Tulivuruge varanga
Chimeneza kunengea kwangaru
Nikiandae kitanda
Shuka za maua ua ya marooon

Kisha tugonge na venta
Mambo ya kujizimbua na varu
Nifunge upande kanga
Babu Juma we kwarua kwa kwaru

Ooh baby you are my...
My number one, you're my number one
My one and only...iyeee
My number one, you're my only one

Baby my (Baby my)
My number one, you're my number one
My number one, you're my only one

Penzi limetaradadi, napepewa
Harufu ya marashi rashi
Nikitouch touch shingoni

(Wasafi)

Ecouter

A Propos de "Number One"

Album : Number One (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 WCB Wasafi
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Nov 13 , 2020

Plus de Lyrics de RAYVANNY

RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY

Commentaires ( 3 )

.
Keizzy 2021-01-18 11:11:30

These lyrics are wrong. Wrong translation

.
Denise Gloria from Uganda 2021-10-02 05:24:31

I really enjoyed your song am in love with it

.
Welborn Kibwota ug 2021-11-11 08:21:57

very interesting but too long



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl