Paroles de Happy Birthday
Paroles de Happy Birthday Par RAYVANNY
(Eyoo Trone)
Oh my God it's my birthday
Oh my God it's my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Oh my God it's my birthday
Oh my God it's my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Siku nyingine ya furaha
Am so Happy Happy Happy (Happy Happy Happy)
Mwaka mwingine nimevuka
Am so Happy Happy Happy (Happy Happy Happy)
Asante mama, asante sana kwa kunizaa
Upendo wako moyoni mwangu hutochuja
Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha
Mtoto wako damu yako nimekuja
Niko na marafiki (Ahee)
Kuna zawadi (Ahee)
Twacheza mziki (Ahee)
Wanamwaga maji
Basi post picha yangu (Ahee)
Niletee na keki yangu (Ahee)
Tufurahi ndugu zangu (Ahee)
Maana leo ni siku yangu
Oh my God it's my birthday
Oh my God it's my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Oh my God it's my birthday
Oh my God it's my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Kata keki (Kata kata)
Tule (Kata kata)
Leo siku ya furaha (Kata kata)
Tule (Kata kata)
Muite Chap Chap Mutua (Kata kata)
Kama anakupa chukua (Kata kata)
Kata (Kata kata)
Kata (Kata kata)
Hee! Kwani baba mnataka nini? (Tupe Pombe)
Eeeh (Tupe Pombe)
Nini? (Tupe Pombe tulewe)
Vipi hamtaki juice? (Tupe Pombe)
Maji vipi? (Tupe Pombe)
Hata soda? (Tupe Pombe tulewe)
Kina dada mnataka nini na nyie (Tupe nyama)
Eeeh (Tupe nyama)
Ugali? (Tupe nyama tushibe)
(Eyoo Trone)
Ecouter
A Propos de "Happy Birthday"
Plus de Lyrics de RAYVANNY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl