Paroles de Vunga Par AMBER LULU


Take five now(rebem bem)...
Its another one...
Touch..

Vunga kausha!
Vunga vunga wee kausha!
Basi vunga kausha!
Vunga vunga wee

Amber Lulu ana sura mbaya Vunga!
Amedanga mpaka aka retaya Vunga!
Mwenzako sina muda sina haya Vunga!
Ni roho ngumu inapita pabaya

Ni heri mimi nachota kidogo
Wewe kutwa unashindia mihogo
Instagram unaniita kitumodo
Nyumbani Fatuma muuza mikorogo

Ushapatikana 
Chumbani una vaa minguo rubani
Ni mikoko, baikoko mpaka sebuleni
Hatukamatiki visirani

Ukiniona wee vunga vunga
Sisemi nalo chunda chunda
Mshe jivishe nunda nunda
Kiroho mbaya na nina dunda dunda

Vunga kausha!
Vunga kausha!
Vunga kausha!
Mdomo wako chunga kausha!

Vunga kausha!
Vunga kausha!
Vunga kausha!
Mdomo wako chunga 

Oooh we we 
Ooh we, ooh we eeh
Oooh we we 
ooh we, ooh we eeh

Yeah, siku hizi ata tukikazana 
Hatuna muda
Wenzako wanapambana tu kuzisaka mulla
Wewe sio Mungu, wewe sio jaji 
Unachoona basi vunga

Siku hizi tushaachana na hizo style za kuzuga
Hatutafuti twins, kitambo nimeshakiki
Ati Touch anasanda, real nigga sizimiki
Nilisha kuwa nyuma na ninajua kipindi kipi

Wanaojua what am doing, kitambo wameshaweka tiki
Elimu ya mtaa ishanifunza kitambo
Nimeshaitwa chawa kasro kuwa chambo
Reak nicca, wanasema Touch endeleza mambo

Usishangae watu wabaya 
Wanataka kuniweka kando
I'm ready!

Ushapatikana 
Chumbani una vaa minguo rubani
Ni mikoko, baikoko mpaka sebuleni
Hatukamatiki visirani

Ukiniona wee vunga vunga
Sisemi nalo chunda chunda
Mshe jivishe nunda nunda
Kiroho mbaya na nina dunda dunda

Vunga kausha!
Vunga kausha!
Vunga kausha!
Mdomo wako chunga kausha!

Vunga kausha!
Vunga kausha!
Vunga kausha!
Mdomo wako chunga kausha!

Oooh we we 
Ooh we, ooh we eeh
Oooh we we 
ooh we, ooh we eeh

Vunga kausha!
Vunga kausha!
Vunga kausha!
Mdomo wako chunga kausha!

Vunga kausha!
Vunga kausha!
Vunga kausha!
Mdomo wako chunga kausha!

 

Ecouter

A Propos de "Vunga"

Album : Vunga (Single)
Année de Sortie : 2019
Copyright : All rights to the ownwer.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 25 , 2019

Plus de Lyrics de AMBER LULU

AMBER LULU
AMBER LULU
AMBER LULU
AMBER LULU

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl