Paroles de Chombo
Paroles de Chombo Par RAYVANNY
S2kizzy Baby
(ololololololo…)
Hehehe eh Vanny Boy! Vanny boy !
(ololololololo…)
Hey Foundation, wanja
Nywele ya bei ya kiwanja
Ndinga mkwanja
Shopping mwendo wa kuchanja
Sponsor danga
Nichune komesha viranga
Basi vimba tamba
(Pull up!) Wakikuchamba
[CHORUS]
Oooh lalala
Cheusi mangala wakanda
Oooh lalala
Tukale sangara Wa mwanza
Oooh lalala
Nywele chotara kinanda
Oooh lalala
Ghetto papara misamba
Chombo, chombo, chombo
Kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo
Kana ngozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo
Party chumbani sebuleni
Chombo, chombo, chombo
Ntakapeleka ukweni
Macho yako malewa mie
Figo mkalia nyongo
Pekecha pekecha
Ulindi ulimbombo
Miniwako ning’ang'anie
Kama mbozi na kimondo
Nogesha nogesha
Pekere na kamongo
Oooh baby (baby)
Mwenzako nita died ( My baby)
Hizo fujo chumbani
Betuka binuka kwa bed beed
[CHORUS]
Oooh lalala
Cheusi mangala wakanda
Oooh lalala
Tukale sangara Wa mwanza
Oooh lalala
Nywele chotara kinanda
Oooh lalala
Ghetto papara misamba
Chombo, chombo, chombo
Kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo
Kana ngozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo
Party chumbani sebuleni
Chombo, chombo, chombo
Ntakapeleka ukweni
(ololololololo…)
(ololololololo…)
Ecouter
A Propos de "Chombo "
Plus de Lyrics de RAYVANNY
Commentaires ( 4 )
So many thanks to you Iko poa sana page yako
AH IKO SANA BIG UP SANA BROTHER YANGU PAMOJA SANA.
AH IKO SANA BIG UP SANA BROTHER YANGU PAMOJA SANA.
Big up brother.. Fire
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl