Paroles de Wacha Waseme
Paroles de Wacha Waseme Par PRYSHON
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Mpenzi wangu ni we
Na dawa langu ni wewe
Mpenzi wangu ni we
Na dozi langu ni wewe
Tumeshikilia, tumeng’ang’ania
Hakuna aliyejua
Vita tumepigania, tumevumilia
Na bado tunasonga
Mpenzi ni wewe
Chaguo la moyo wangu
Bado ni wewe
Tulizo la nafsi yangu ooh
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Ata wakate Na kutuchongea
Penzi letu linanoga
Milima mabonde tushashinda
Tugange yajayo tutapita
Mpenzi letu moto, ni fire
Hawawezi tenganisha
Penzi letu haiwezi kalinganishwa
Mpenzi ni wewe
Chaguo la moyo wangu
Bado ni wewe
Tulizo la nafsi yangu ooh
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Wacha waseme, usiku watalala
Penzi langu na we, halitatanishwi
Ecouter
A Propos de "Wacha Waseme "
Plus de lyrics de l'album Gifted
Plus de Lyrics de PRYSHON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl