Paroles de Asante
Paroles de Asante Par PLATFORM
Sifa na utukkufu
Na ziwendee kwako baba muumba
Mbingu na dunia
Na vyote vilivyomo
Asante zako kudura
Japo kuhumili ni mzogo uwooo ooh
Japo kidogo ila nalidhika
Ya dunia ni mazito
Vile nakesha kukuomba
Usiku wa manane kesko nione
Na jasho la vuja sipati ata tonge
Ah unyonge
Nipe langu tabaka nijione ka walee unione
Nakosa rafiki wakaribu kua nae
Eh baba niyone
Ah mama alisema dunia kiza
Ah eh, kuna nuru miujiza
Kwenye kupata na kukosa
Nshukuru rabiah
Hill daraja nitavuka
Hata bonga alisema
Usi choke jasho futa futa
Papa God asante, asante
Umeruhusu haya
Mi nasema asante,asante asante
Papa papa papa, asante
Asante asante
Umeruhusu haya, asante asante
Waenga walisema
Liziki mafungu saba
Nime shindwa gawanya
Hasi geuka chanya yame ni chapa
Hata elimu mi sijasoma
Damu ya uwarabu sina aah
Kuvuja kwa pakacha maji kwa tenga killo msiba
Asa vipi nikose, wengine wapate
Kama we ndo mgwaji so sina sina budi ningojee
Ama sina kiokote, mapenzi nikose
Hata yule wa jana leo ananiona so lolote
Ah mama alisema dunia kiza
Ah eh, kuna nuru miujiza
Kwenye kupata na kukosa
Mshukuru rabiah
Hill daraja nitavuka
Hata bonga alisema usi choke jasho futa futa
Papa papa asante, asante
Umeruhusu haya
Mi nasema asante,asante asante
Papa papa papa, asante
Asante asante
Umeruhusu haya, asante asante
Ecouter
A Propos de "Asante"
Plus de Lyrics de PLATFORM
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl