
Paroles de Taya
...
Paroles de Taya Par OKELLO MAX
Naanzaje laumu
Love iliisha mapema
Mapenzi yashanidhulumu
Maisha haya ya sinema
Kwani tutakula mapenzi tu
Swali limenivua heshima
Ipo siku nitafaulu
Na roho yangu mi nitaikinga
Ooooh ni salama salama nawe
Napiga salama nainama
Lazma niiname mvunguni nafika
Yashamwagika na yatazoleka
Siezishindwa so ni salama
Salama nawe salama
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Miel koda mogik kapokisimo taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Miel koda mogik kapokisimo taya
Kirisimna taya kirisimna taya
Oooh kirisimna taya abebo kirisimna taya
Asebedo kamanyo manyoge gima mara mari
To matin mayudo okromi ju we ni baddie
Awino Mariana
Ona umefanya pii wang’a chwer
Ulinidanganya
Utakuwa pamoja koda nyaka chieng
Salama salama nawe
Napiga salama nainama
Lazma niiname mvunguni nafika
Yashamwagika na yatazoleka
Siezishindwa so ni salama
Salama nawe salama
Yawa ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Miel koda mogik kapokisimo taya
Ang’omi jara
Hera olokore achaya
Abebina sina ubaya
Miel koda mogik kapokisimo taya
Kirisimna taya kirisimna taya
Oooh kirisimna taya abebo kirisimna taya
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Before uende
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Ecouter
A Propos de "Taya"
Plus de Lyrics de OKELLO MAX
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl