Paroles de Past
Paroles de Past Par OCTOPIZZO
Octopizzo
Dope ka coca on field ka soccer
Juu ya moshi ka smoker never serious ka joker
Texas Ranger ka Walker
Nairobi narun the street daily ka hawker
Tight ka biker
Zangu ni ku achieve magoal daily ka striker
Ready to go to war maze ka faster
Flow zao ziko down mboch anazipiga duster
Corrupt game mtu wangu maze mi ndio master
Nakunywaga hol maze niko holy ka pastor
Daily naleta drama kwa game ka actor
Mi mwenyewe drama, jina huanza na oc
So sick ukinitaka utanipata kwa hossi
They shook I made them look
YGB number nane made them shook
I'm so sick instead ya kuspit inabidi ni puke
Octo
double Z Oooh
Wakibonga about Safaricom natalk about Yu
Wakitalk about matatu natalk about boo
Wakitalk about watatu natalk about two
That's me and you baby girl what it do
Daily nawapita in short nawapinga ka yule mse alikana Yesu mara tatu
Wanasema mi ni star mi huwaacha kwa mataa tu
Boy wa mtaa sipandi boo ni matatu
Wananiita gangster bila kujichora matatoo
Nakula smart mtu wangu hiyo ndio reason skuizi nafurisha mashavu kama chatu
Nikiingia kwa booth nachezea mabars ka street bar
Ka ni bill mtu wangu skuizi mi hulipa
Ka ni waresh skuizi ni walami hujipa
Unadai beef mtu wangu na we ni grim reeper
Flow zenu ziko shallow yangu iko deep so
I'm the ish ambia Nyambane akuje na harpic
I'm the ish kwa show wanakuja ka wamebeba manapkin
Jyeah YGB number nane baby
Ecouter
A Propos de "Past"
Plus de Lyrics de OCTOPIZZO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl