NAY WA MITEGO Mungu Yuko Wapi cover image

Paroles de Mungu Yuko Wapi

Paroles de Mungu Yuko Wapi Par NAY WA MITEGO


Hawa hawa hawa hawa
Hawa hawa hawa hawa

Nilizaliwa peke yangu
Na nitakufa peke yangu
Muamini Mungu wako
Nibaki na Imani yangu

Kama kweli kuna mbingu
Basi nina njia yangu
Sio baba sio mama
Nitakwenda peke yangu

Mungu hamtupi mja wake
Imeandikwa kwenye vitabu
Mbona Shetani ametawala
Na waja wanapata tabu

Hivi kweli huyu Mungu yupo?
Na huu mchafuko
Uliyokataza yametawala
Hivi kweli we Mungu upo?
 
Wenye roho mbaya Mungu ni wewe umewapa hela
Wana makosa kibao na bado hatuwaoni jela
Kuna hawa viongozi makatili na madictator
Wanatesa watu wanauwa watu
Sababu ya madaraka wanajiona Miungu watu
Baya zaidi hawafi haraka watu wenye roho mbaya
Mungu ni kweli upo na unayatazama haya

Hivi ni wewee, ni wewee
Hivi ni wewee
Sasa mbona upo kimya

Hawa hawa hawa hawa
Hawa hawa hawa hawa

Hivi Mungu yuko wapi?
Hivi Mungu yuko wapi?
Hivi kweli Mungu yupo?
Hivi kweli Mungu yupo?

Ninae muabudu mimi
Sio mnaemuamini nyinyi
Najua tuko tofauti
Kuanzia imani mpaka dini

Na sitoshangaa
Msipoelewa naongea nini
Maana mi mwenyewe sielewi
Mnashangaa nini

Pumbavu nyinyi wajinga nini?
Mnateswa mnanyanyaswa
Mnangoja niseme mimi
Eeh Mungu baba hivi kweli unaona?

Hivi anaewapa hela mashoga ni Mungu gani?
Wanaosagana wana roho gani ya imani
Mbona dada yangu ameokoka ila anakufa maskini
Wakati wenzake wadangaji anawapa hela kwa nini
Au ushakula kona shetani ametake over
Manabii wa uongo wamejaa kila sehemu
Tunalewa nao tunashare nao mademu
Sadaka za watu wako ndo zinawapa wazimu
 
Wanatumia jina lako 
Wanaponya kwa nguvu za giza
Ufuska mauaji ukatili uliopitiliza
Hivi kweli Mungu upo ndo swali nnalojiuliza

Hivi ni wewee, ni wewee
Hivi ni wewee
Sasa mbona upo kimya

Hawa hawa hawa hawa
Hawa hawa hawa hawa

Hivi Mungu yuko wapi?
Hivi Mungu yuko wapi?
Hivi kweli Mungu yupo?
Hivi kweli Mungu yupo?

Wanaokesha kwa waganga wanafanikiwa kwa spidi
Wanaokesha kwenye ibada maisha yao duni

Hivi ni wewee, ni wewee
Hivi ni wewee
Sasa mbona upo kimya?

Hawa hawa hawa hawa
Hawa hawa hawa hawa

Mungu uko, Mungu uko
Where are you?
Uko wapi, uko wapi?

(Free Nation, Mr LG)

Ecouter

A Propos de "Mungu Yuko Wapi"

Album : Mungu Yuko Wapi (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 12 , 2020

Plus de Lyrics de NAY WA MITEGO

NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl