Paroles de Waambie (Rieng')
L'artiste kényane Nana Okindo alias Nana the Melanin Queen mieux connue sous le nom de...
Paroles de Waambie (Rieng') Par NANA
Nipeleke leke na rieng
Asubuhi nikiamka nakuwaza wee
Jua linapotua bado nakuwaza
Sina budi kukupenda
Moyo wangu ushakubali
Nahisi kukupenda leo zaidi kuliko jana
Najua nikipenda napenda kweli kweli
Penzi langu kwako la dhati
Sitaki iwe siri
Waambie nilipata dawa ya moyo
Wakusema, watasema
Kisha watalala
Boy you got me caught up in this love thing
Boy you got me singing all this love songs
Nakupenda, nakupenda
Nakuwaza nipeleke na rieng'
You put a smile on my face
Taking in with the pace
Polepole ndio mwendo
Umeniua umeroga
I will dance for you
Give my all to you
I'm on a love fusion
I've made a decision
Iyo siku moja usione
Dhamani yangu utanimaliza
Ukiwai kuniacha jamani
Utanitatiza
Waambie nilipata dawa ya moyo
Wakusema, watasema
Kisha watalala
Boy you got me caught up in this love thing
Boy you got me singing all this love songs
Nakupenda, nakupenda
Nakuwaza nipeleke na rieng'
Waambie nilipata
Wakusema, watasema
Waambie nilipata
Watasema watalala
Waambie nilipata
Wakusema, watasema
Waambie nilipata
Watasema watalala
Boy you got me caught up in this love thing
Boy you got me singing all this love songs
Nakupenda, nakupenda
Nakuwaza nipeleke na rieng'
Hey hey nakupenda baby
Nakuwaza baby iyee yeah
(Thamos on the beat)
I'ts the Melanin Queen yeah
You know what it is
Ecouter
A Propos de "Waambie (Rieng')"
Plus de lyrics de l'album Chizi (EP)
Plus de Lyrics de NANA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl