
Paroles de Single Mother
...
Paroles de Single Mother Par NADIA MUKAMI
Alexis on the beat
Majina mabaya amepewa yeye
Lawama zote ametupiwa yeye
Matusi kejeli ni kwake yeye
Huyo ndio single mother
Kupambana anapambana yeye
Kuvisha kulisha ameachiwa yeye
Kusomesha kulea ni kwake yeye
Nani kama single mother
Walisema sitoweza watoto wataparara
Wakaniita shenzi leo ona naolewa
Watoto wanasoma wengine wamehitimu
Nani kama mimi eh eh eh
Walisema sitoweza watoto wataparara
Wakaniita shenzi leo ona naolewa
Watoto wanasoma wengine wamehitimu
Nani kama mimi eh eh eh
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Zamu yetu sasa tuwakomeshe
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Ya kwake yamekwisha
Maneno walisema
Machozi nikaficha
Kule sitorudi tena
Ona nimejisaka nikajipata
Hamnishtui tena
Mpenzi ninaye tena natamba nae
Kung’ara nang’ ara tena designer kali
Kweli mungu si athumani
Sitokuja kulia tena
Walisema sitoweza watoto wataparara
Wakaniita shenzi leo ona naolewa
Watoto wanasoma wengine wamehitimu
Nani kama mimi eh eh eh
Walisema sitoweza watoto wataparara
Wakaniita shenzi leo ona naolewa
Watoto wanasoma wengine wamehitimu
Nani kama mimi eh eh eh
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Zamu yetu sasa tuwakomeshe
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Zamu yetu sasa tuwakomeshe
Single mother hoyee hoyee
Kina mama hoyee hoyee
Ecouter
A Propos de "Single Mother"
Plus de Lyrics de NADIA MUKAMI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl