Paroles de Another Day
Paroles de Another Day Par OCTOPIZZO
(Pizzo de, 8 Town)
Cheki cheki cabinet
Acha nyame marinate
Nasema cheki cheki cabinet ministers
Wenye mali ya umma wanasuffocate
Seti seti mary jane
Gethaa ya ku-medicate
Nasema seti mbele medicine
Hio ganja imeditate high court advocate
Hii utamu yote money
Maisha inatupelekaga rat race
Salamu zangu zote handshake
Bars kalamu zangu zote heartless
Fahamu zangu matress
Kalisha we ni my guest
Kabla nispit kwanza mic check
Right then kesho ni another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Rada rada punguza kuranda randa
Panda panda nganya 111
Saba saba mara 77
Sana sana wavy Mombasa raha
Dish kwa sahani bilas
Bill za zamani hillas
Deals za maganji killer
Keja kifahari villas
Traphouse mi huchill na madealer
Vako za kugrill mamacita
Ego shit una negotiate
Na hii ndo ile time
Inakuwa mi nawe tunegotiate
Mi ndo king sina sling zako bling
Nikiblink unago missing
Cheki ring na ni big nina gang
Tukibang mna-go missing
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Nasema kesho, kesho pia ni siku
Kesho pia ni siku, kesho pia ni siku
Nasema moro, moro pia ni siku
Moro pia ni siku, moro pia ni siku
Corona iko njei jikinge
Ambie upinzani ijipinge
Unadai we buda nipige
Issa another one sema ni iingine
Niko manjaa chai nipee majani
Na nimejam vela itani-calm down
Na nimechill nikidrill
Anaspit akiscream baby, baby come now
Amebow down aka-tapout
Ni P.I.Z.Z.Oooo
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Ukipata ukikosa
Tomorrow is another day
Eyoo is dedicated to everyone out here men
Pereka hiyo nasema hii manze imekuwa
Dedicated kwa kila msee mwenye ako hapo
Nje njei bana anasukuma hustle
Usiwai choka bana
Leo usipoget kesho utaget
Rada chafu manze jo
Ecouter
A Propos de "Another Day"
Plus de Lyrics de OCTOPIZZO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl