
Paroles de Tumeachana
...
Paroles de Tumeachana Par Msomali
J4d Sound
Aaah Vitamin Yooh
Aaah Msomali Hapa
Adasco mtu mbaaaya
Sikumuambia simtaki mimi
Hakuniambia hanipendi mimi
Sikumuambia simtaki mimi
Hakuniambia hanipendi mimi
Ilaa the session kibao vurugu kibao
Lakini hata siku moja hatujapigana vibao
Ilaa the session kibao vurugu kibao
Lakini hata siku moja hatujapigana vibao
Oooh ohhh ohhhh Oooh
Mi nashukuru wote tumeachana
Mdogo mdogo bila kugombana
Mi nashukuru wote tumeachana
Mdogo mdogo bila kupigana
Oooh ohhh ohhhh Oooh
Nikikumiss nitakupiga simu yako
Ukinimiss embu nipigie namba yangu
Nikikumiss nitakupiga simu yako
Ukinimiss embu nipigie namba yangu
Oooh ohhh ohhhh Oooh
Eti nilimpenda tulipendana
Ila tulianachana hatujagombana
Oya nilimpenda tulipendana
Ila tulianachana hatujagombana
Kapata mwengine anempenda zaidi
Anakula vingi mwezangu anafaidi
Kapata mwengine anempenda zaidi
Anakula vingi mwezangu ana faidi
Konpa kompa
Anakuja na lovebite shingoni
Napotezea nafanya kama sioni
Nikiomba mi nanyimwaa
Nikiforce natukanwaa
Mama kanifunzwa kukaa kimya ni sunna
Machoni na cheka moyo umenunaa
Kanifunzwa kukaa kimya ni sunna
Machoni na cheka moyo umenunaa
Ila namuachia Mwenyezi
Kuforce force nako mapenzi nako siwezi
Ila namuachia Mwenyezi
Kuforce force nako mapenzi nako siwezi
Eti nilimpenda tulipendana
Ila tulianachana hatujagombana
Oya nilimpenda tulipendana
Ila tulianachana hatujagombana
Kapata mwengine anempenda zaidi
Anakula vingi mwezangu anafaidi
Kapata mwengine anempenda zaidi
Anakula vingi mwezangu ana faidi
Asante
Ecouter
A Propos de "Tumeachana"
Plus de Lyrics de Msomali
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl