
Paroles de King'ang'anizi
...
Paroles de King'ang'anizi Par Msomali
Salamu dear, salamu dear ex
Uku nilipo mi niko mwepesi
Nahisi dua zako hazijapokelewa kwa Mola
Uliomba nife, nipigwe hata anakombora
Usipate shida kunilike kuni-comment
Kuleta mbwembwe zako za mbuu nje ya neti
Usipate shida kunifollow, baby wangu anakuona anaku-unfollow
We usipate shida kunitag kwenye picha zako
Zenye mafumbo mafumbo, shika adabu yako
Tena anakuomba waambie rafiki zako
Waache kuniita shemeji, mi sio mpenzi wako wewe
Eti jamaa mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Eti mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Oh jamani ex wangu king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Si uliniacha mwenyewe peke yangu
Hukujua Mungu wangu anaipenda ahh
Nipotee nilewee, ex wangu ukapotea zako nawe ukaenda
Sina shida nawe tenaaa
Nimeshapata mwenginewe ananipenda sana
Nakuombea nenda vyema maana hauna maana tena
Nenda zako mamaaa
Nilishasema nenda zako anaenipenda ninae
Mapenzi nawe sitaki tena anaenipenda ninae
Shida zote za nini anaenipenda ninae
Sitaki fujo sitaki shobo anaenipenda ninae
Eti jamaa mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Yule pale king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ecouter
A Propos de "King'ang'anizi"
Plus de Lyrics de Msomali
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl