...

Paroles de Amen Par Msamiati


Uuuhh uuuhh uuuhh yeah yeah

Chinga on this one

Wizzo

Mmh chinga chinga in this one

Oooohh

Yeah yeah

Yeah

Yeah eeh eeeeh

Eeh kama kuparty sawa kula bata

Ila usisahau na kutoa sadaka

Life tunakwenda haturudi yeah

Kama kupata sawa ushajipata

Usiwasahau ndugu zako chaka

Kama hawakutenda ya mekusudi yeah

Riziki popote (tutafute wacheke)

Usichoke (si unajua life ni maseke)

Pamba ooh pigana dunia haina mwenyeni

Riziki popote (tutafute wacheke)

Usichoke (si unajua life ni maseke)

Pamba ooh pigana dunia haina mwenyeni

Sema amen (ameeeen)

Mshukuru mungu (ameeeen)

Mengi katuvusha mengi katuvusha papa god

Sema amen (ameeeen)

Mshukuru mungu (ameeeen)

Mengi katuvusha mengi katuvusha papa god

Ooh aah

Eeh

Waza

Ughwe umenyee

Waza

Ndugu waza

Ndugu usisahau kuwaza

Waza

Jua duniani kuna wa mwisho na wa kwanza

Usiwaze maisha yako yatekushangaza

Maana unapitia mengi na unajikaza

Waza

Chunga tu isiwe ujinga utachokiwaza

Makubwa hayaji kirahisi bila kukaza

Ufundishe moyo wako pia kukataza

Shida zako sio kitu cha kutangaza

Bila mungu tungekua wapi wapi

Mshukuru kakufanyia mangapi nigapa

Wote tunahitaji kuwa happy

Walinionmbea mabaya nimeshinda kiko wapi wapi

Mrafikili ndio wamekua ndugu

Tulipamopene na wana

Nimekua anavyotaka mungu

Yumuka kuchele

Riziki popote (tutafute wacheke)

Usichoke (si unajua life ni maseke)

Pamba ooh pigana dunia haina mwenyeni

Riziki popote (tutafute wacheke)

Usichoke (si unajua life ni maseke)

Pamba ooh pigana dunia haina mwenyeni

Sema amen (ameeeen)

Mshukuru mungu (ameeeen)

Mengi katuvusha mengi katuvusha papa god

Sema amen (ameeeen)

Mshukuru mungu (ameeeen)

Mengi katuvusha mengi katuvusha papa god

Sema amen

Mshukuru mungu

Mengi katuvusha mengi katuvusha

Konde music world wide

Yeah yeeeehh

Ecouter

A Propos de "Amen"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2024
Copyright :
Ajouté par : Farida
Published : Sep 29 , 2024

Plus de Lyrics de Msamiati

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl