
Paroles de Tena
...
Paroles de Tena Par MBOSSO
S2kizzy baby
Jasho lilinitoka mwenzenu
Hata kwenye ac
Yule nilosema ni shemeji yenu
Alinipandisha bp
Ngumi mkononi kuvaana maungoni
Yemi sijazoea
Yanamtoka mdomoni nakosa silioni
Mwenzangu ananifokea oooh nono
Kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Mambo ya kulilia mapenzi
Ni miaka ya tisini kushuka chini
Watoto wa elfu mbili hawawezi haya mambo
Hilo uweke akilini
Ngumi mkononi kuvaana maungoni
Mimi sijazoea
Yanamtoka mdomoni nakosa silioni
Mwenzangu ananifokea oooh nono
Kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Kwake mi kurudi tena
Hilo haliwezekani
Mimi kumpenda tena
Si bora tu nifuge nyani
Ecouter
A Propos de "Tena"
Plus de Lyrics de MBOSSO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl