Paroles de Mbuzi
Paroles de Mbuzi Par MANENGO
Wananiita mr Mwanza, Mwanza
Buyu mpaka Nganza
Niko katikati ya Msodoki
Na kuu banda
Mmenichosha makabuku
Maajabu leo mnaomba jero kwa panya buku
Taarifa kwa father wa new generation
Father Nelly leo nawatag, na wa-mention
Sioni rappers kuni-compare
Nami sijasema kwa ubaya
Nawatuliza gamba alafu nawauliza
Zaku kaya
Wananiita mi mjuzi sijui ni kipi nimekosa
Mchezaji ambaye namfundisha hadi Papi Kocha
Kwenye mdundo ukisimama na mimi utageuka kioja
Mwisho wa siku utachekesha utaomba po na powder
Hapa siongei na rappers
Naongea na wafanya covers
Pamela na Kipini makusuka
Nyie dadas mtajua kua hamjui
Nikinywa pombe wanawaka
Ila cha ajabu huwa siungui
Ambia wenzako mzee nimekurupuka
Na hili chupa la mchana paka athmani machupa
Manengo hatajwi ila mitaa ndo inamtaja
Na ukimbana sana atatoka ni haja
Maana washasema watopoli dunia ina mambo
Na ukinywa bia za kigwendu dada bambo
Wanangu nimepata beiby, manze, Manzese
Mtoto wa baba alafu mama Khadija Kopa, wacha nicheke
Ananiambia, nimchum nimkiss mwaah
So kwenye majengo - nae then home, Kibaa
Kunicompare mimi na watoto sitaki
Mnategemea ofisi ya kata na haikati
Sare hampati, mkimind mkashtaki
Serikali kuu ya fake rappers mawaki
Mzuzu cap, mbeleko na hamtembei
Mtakuja kupata taabu siku kanga zikipanda bei
Maana nisha warm up kurap mpaka nikaota vigimbi
So endeleeni kukoroga sukari bahari ya Hindi
Na hapa sihitaji crown na umedari kwenye shingo
Na leo nakata miti alafu naotesha mitindo
Ondoa hizo taka taka Migos wannabe
Malengo niko A kwa hiyo zima izubii
Ecouter
A Propos de "Mbuzi"
Plus de Lyrics de MANENGO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl