Paroles de Chachisha
Paroles de Chachisha Par MAGIX ENGA
Magix Enga - Chachisha
This is how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
This is how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
Huskii nitakula merry christmass
Na mkuje sherehe
Na msikose pia kuja na G pack
Nitapiga sherehe
Unakuja umepiga ma slippers
Mali kwa sherehe
Ukipata mchele pia umeisha
Unaweza sema tuekelee
Si ni kawaida ndani ya party utanipata
Wamedunga vitu fupi na zimewabana
Cheki macho nyanya vile nimechoma
Na hadharani sitambuagi ma informer
This is how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
This is how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
Cheki mi usiniite kwenyu bash
Na hamna budget ya magode
Si ni poa na cash
Hata kama joh si zote
Ngori ni sikia ati wa(Wa)
Ati heri njooni nyote
Na kama we ni wa kwa(Kwa)
We ni wa wangu saa zote
Ukijifanya kuku sana wengi
Wengi wanakuchemshia maji
Ku ku kuku manga
Hutumiwa na watu hawaraushagi
Sikiza vile naikula, kula
Hadi wengine hawalali
Naifanya inakuwa tamu
Hadi maneiba wanadai
Si ni kawaida ndani ya party utanipata
Wamedunga vitu fupi na zimewabana
Cheki macho nyanya vile nimechoma
Na hadharani sitambuagi ma informer
This is how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
This is how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
Cheki si mnajua ni Gitah dem ya Peter
Ali-divorce na Peter ati juu najua guitar
Na kameiva nakaitanga senorita
Kwa siku nisipomuona mi huskia nimekatsika
Ka nilikuwa handes manze juu yake zi hushika
Nikukatema kwanza nipite marema
Nicheki form kaa naweza angukia ki shh ssh
Nijenge apetite ya kudema
Ni avoid kuhema juu ka
Unaweza ni heri ungesema
Unaweza kuwa meza
Ubaki umepenguzwa
This is how we party in a holiday
Ni kila siku kuchachisha yeah
This is how we party in a holiday
Kabla wakati hujaisha yeah
Huskii nitakula merry christmass
Na mkuje sherehe
Na msikose pia kuja na G pack
Nitapiga sherehe
Unakuja umepiga ma slippers
Mali kwa sherehe
Ukipata mchele pia umeisha
Unaweza sema tuekelee
The way you give me a good feeling
(My ooh my)
Talking about this a real thing
(Hii yako unaweza fly)
The way you give me, am addicted
(Si iko sukari juu sana)
The way you give me, am addicted
The way you give me a good feeling
(My ooh my)
Talking about this a real thing
(Hii yako unaweza fly)
The way you give me, am addicted
(Si iko sukari juu sana)
The way you give me, am addicted
(Si uko na sukari kwa sana)
Ecouter
A Propos de "Chachisha"
Plus de Lyrics de MAGIX ENGA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl