Paroles de Digi
Paroles de Digi Par MADOCHO
Tunatesanga Kanairo tukiwashikia biro
Na mbona niseme si fiti, digi we lola kwanini
Nikisorora nadigi mbulu tuchezwe kwa wingi
Napenda kushika shilingi buda ni nini we digi
Cheki ni nini digi
Cheki ni nini digi
Cheki ni nini digi
Cheki ni nini digi
[Pingo]
Hii beat imestand true na mafans
Mziki jo krisi nafeel na matrap
Plans zimekam mraa na masaa
Kwa moodi naruka kwa vile nafaa
Dream weka jas free na ukidance
Ya pili zaidi inatuonyesha map
We chill tukurank kwa bill na hizi plans
Ya nini mafeelings na city imepaa
Hio 2020 haikuwa fiti
Ona call ya mdosi inachip in
Wale konki shoti sijui mbogi mbogi
Wacha rieng ya shang jo eka discipline
Kabla nijitoe kamili naomba riziki
Zile form za jiji ziwe rasmi
Nikibora na krisi pale jam na sisi
Tunadrop kamili hii ni magic
Chezanga low hii mchezo ya mziki imefika mayooo
Na sikuwa na doh, nilianza kuitana ikashika mabro
Na sai ona flow, kimoja na Gotta inavuta mashow
Na sa ju umeknow rembesha na kiki ndo ipate kugrow
[Stoopid Boy]
---
--
We undadigi we una ona
Kama ni picha wacha kuchoma
Kama ni ngoma bado ni noma
Mimi ni stupid na najiona
Form ni kuparty na kina Mona
Genje ilibudga kama Corona
Gotta ni City ngumi ni jamo
Form ni kuparty na kina Yola
Ama dibala sipendi swara mi nikitema
Hao hulala SMG hao mafala, hao mafala
Mafala
[Liyetin]
Tunatesanga Kanairo tukiwashikia biro
Na mbona niseme si fiti, digi we lola kwanini
Nikisorora nadigi mbulu tuchezwe kwa wingi
Napenda kushika shilingi buda ni nini we digi
Cheki ni nini digi
Cheki ni nini digi
Cheki ni nini digi
Cheki ni nini digi
[Madocho]
---
--
Chapia Dar badmind kashamulitwo
Chapo niai 1:30 mi nariau
Kama baddy govana tulishanauwo
Waganis waganis comprende
Waganis waganis comprende
Waganis waganis comprende
[Liyetin]
Mbona nichoche mziki ni janta
Raha ni tamu flavour ya Fanta
Mi nadream kusaka the money
Ni vipi mafans niko na talanta
I got the fans I value the most
Na mbota ikidedi nachocha the boss
Mbona choche to be real
Manigga ukitaka wazimu kwa paper ya Chem
Blunder ni ati sipendi kuringa
Ngori ni ati napenda ujinga
Nina tulu nikifika ni photoshoot
Picha ni lazima mi huwaga napiga
Odi wanapardon for more
Gai shtuka nakuja ki ghost
Buda jibambe na chunga kulost
Ju life ni tricky haitaki kuforce
Kuna magonjwa nataka kusare
Sema Corona ya pili kidale
Mkijibamba my people kumbuka jo
Mali ya mbogi chorea kaswende
Ecouter
A Propos de "Digi"
Plus de Lyrics de MADOCHO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl