Paroles de Bash
Paroles de Bash Par MAAAD YOUTS
Leo ni ile siku mi ndio nawashikia
Makali na mabia mi ndio nitalipia
Mapedi wako area so mtajiwashia
Na ka mnadai dai mangeus wamewadia
Blunder kuna kadem ka kisafi
Kanatesa tesa na figa ka farasi
Na ju mi sidai kupoteza wakati
Mimi huyo huyo kubahatisha bahati
Bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Why always me, Kibalotelli
Katoto kashaambia mamorio wake kwaheri
Venye tunarhyme watatuona kwa telly
Incase you didn't know jina ilikuwa Jerry
Nacheza na idhaa ndo kasiende
Ikifika idhaa joo nikateke
Ikifika idhaa joo nikakembe
Na ni sai sai wacha tuende
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
D don na ni zenga
Tycoon wa magangster
Serikal narun gava
Kila baze mi ndo peddler
Bandika bandua, Anita panua
Anika anua, kifisi rarua aah
Kifisi rarua
Bash ni ya waras na wasafi
Combination moja safi
Bash ni ya waras na wasafi
Combination moja safi
Bash ni ya waras na wasafi
Combination moja safi
Bash ni ya waras na wasafi
Combination moja safi
Waras toka ghetto na wasafi toka esto
Kam tu na jaba, shash na mayellow
Looku looku mbaya mbaya, Jeanika matisho
Na usiskie tu vibaya dem yako ananinoki
Kioo nigga, mi ni mnigga mara twice
Umelewa ndii umetepwa mara trice
Itisha hiyo mkia nikusundie vinice
Ukidai line kwa MPESA Utareplace
Kaza kamba leo lazima watoke trrr
Tuwashe mangrr wadhani hakuna mbrrr
Wakiwa tu masssh ka baridi ka baridi zinatoka
Wale wanabonda kimangoto tunagonga
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combi ingine moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combination moja safi
Hii ni bash ya waras na wasafi
Combi ingine moja safi
Ecouter
A Propos de "Bash"
Plus de Lyrics de MAAAD YOUTS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl