LETEIPA THE KING Tenga cover image

Paroles de Tenga

Paroles de Tenga Par LETEIPA THE KING


Big daddy
Bibli Bam Bam Bam Bam

Nilipokwona Jana, ukipita umevutia
Nilibaki nimeduwaaa Umbo lako mamii
Linanipa kiungulia, Ungewa nguo ningekuvaaa
Nyuma una bonge la ndoo, mum shikamo
Napenda kucheki ukinyonga hiyo
Ukitembea chwani chwani Masoo
I need to know
Umetosheaje kwenye toja hiyo

Sura shepu na tabia, na nutritious ka Dania
Na ingewa sufuria Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia, Kitoweo kwa sinia
Ukinipa ntabugia, Kama komba mwiko

(Tenga) Wamlabez wamnyonyez
Wine Kama Sio yako umepewa
(Tenga) Wine pande. Wine shiothee Ka unahepa msako umelewa
(Tenga) Usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya kupost Fb
(Tenga) Sahau masaibu, Zikishika tufike gheto nikupe KiHB
(Tenga, Tenga)

Unavyosakata dansi Mwili mpaka nafsi Zinakufa ganzi
Kama nyasinyasi Zanigwara Hadi nafurahi, Ooh nafurahi
Urefu wangu was farasi, Nitakupa banzi
Tamu ka nanasi Moto Kama basi
Ndefu Kama ngazi ukidai, ooh ujidai
Uko hot ka solar
Strong ka mollar Soft ka rollar ,yaani conc ka collar
Calm ka baller Expe ka dollar
Sick is Ebola Wanakupenda ka Ocholla

Sura shepu na tabia, na nutritious ka Dania
Na ingewa sufuria Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia, Kitoweo kwa sinia
Ukinipa ntabugia, Kama komba mwiko

(Tenga) Wamlabez wamnyonyez, Wine Kama Sio yako umepewa
(Tenga) Wine pande. Wine shiothee, Ka unahepa msako umelewa
(Tenga) Usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya kupost Fb
(Tenga) Sahau masaibu, zikishika tufike gheto nikupe KiHB
(Tenga, tenga)

Ecouter

A Propos de "Tenga"

Album : Tenga (Single)
Année de Sortie : 2019
Ajouté par : Leteipa the King
Published : Feb 22 , 2022

Plus de Lyrics de LETEIPA THE KING

LETEIPA THE KING
LETEIPA THE KING
LETEIPA THE KING
LETEIPA THE KING

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl