Paroles de Tesa
Paroles de Tesa Par HALISI THE BAND
Ladies and gentlemen
Allow me to introduce Halisination
Frashaaa
Dillie!
Oyoyoyo
Aaa Yee
Kusema kweli we msupa me moyoni umenikamata
Umenikamata
Vile umeniteka mawazo natumaini nitakupata
Nitakupata
Birir lakwet light skin ago tomo angot make up
Wisis ako anyiny kotko ang'etu asome top up
Picky picky ponky mother had a donkey
Other died father cried pretty pretty pointy
Hii Nairobi unatesa Tesa
You're so noti kama pesa
Hii Nairobi unatesa
Unanipandisha pressure
Hii Nairobi unatesa Tesa
You're so noti kama pesa
Hii Nairobi unatesa
Unanipandisha pressure
Na ye ni ka kivela venye ye hunituliza
Kwa bed maradona venye ye hucheza
Napiga mate kisha manze me huteleza
Chakula kwa meza kimetandazwa
Na me na dem yangu ai ye anaweza
Ye hunimaliza michezo ya giza
So ni King wa flow
In case you never
She got that sweet down low
Shika more naichapa more
Anaitaka more naicheza more ki DJ mo!
Na ye ni ka makanga venye ye hunidondoa
Na always tunamake up ni ka tumejipodoa
Na me ni kichwa ngumu nikisunda anatoa anatoa anatoa
Hii Nairobi unatesa Tesa
You're so noti kama pesa
Hii Nairobi unatesa
Unanipandisha pressure
Hii Nairobi unatesa Tesa
You're so noti kama pesa
Hii Nairobi unatesa
Unanipandisha pressure
She said to me
Kama electricity you electrocute me
i know you bad boy but tonight please be good to me
Give it to me bad like tonight you wanna juju me
Imma let you do anything you wanna do to me
Hakuna mwingine kama yeye mimi nampenda
Kama yeye ni matunda mimi ndio blender
Mchuzi mix and if she gimme some juice
Stay winning we never loose
Vile ninapop ka Vatican
Boom ka Taliban
i wanna shoot my shot so someone tell me where's my gun
Mateke nitarusha tena nyingi kama Jackie Chan
Vile umenikalia chapo nafurahi pan
Nakucheki kijicho
Kuja tucheze brikicho
Hapana cheza chini kuja tucheze ligi soo
Kam kidogo nikushow vile hii story inago
Me and you faya pon dem haters dem go know
Hii Nairobi unatesa Tesa
You're so noti kama pesa
Hii Nairobi unatesa
Unanipandisha pressure
Hii Nairobi unatesa Tesa
You're so noti kama pesa
Hii Nairobi unatesa
Unanipandisha pressure
Ecouter
A Propos de "Tesa"
Plus de Lyrics de HALISI THE BAND
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl