Paroles de I Pray
...
Paroles de I Pray Par LETEIPA THE KING
Mhhhhhh
Ni Vampk
254
Na Annie Njeri weweeeeh
Kwanza nashukuru
Kwa baraka na wema wako
Kutwa nakufuru
Hunibagui na zangu vako
Iyeeeh Nje Kuna kunguru, kunguru
Wanataka nidhuru, nidhuru
Ila waninusuru, nusuru
Nafurahia uhuru
Ninaishi lifetime ya Cinema
Kula kunywa ni kwa kubambanya
Nibariki furaha na afya njema
Hivyo vingine nitavisakanya
Kuahidi sitatenda dhambi tena
Nutakuwa ninakudanganya
Ila nitajitahidi kutenda mema
Bila dhulma Wala kukwazana
Ni wengi wangetamani
Kupata Yako hisani
Mimi umenipa vyote cha ajabu
Sina hata shukrani
Nikitazama jirani
Misikiti na kanisani
Mimi ninaponda
Raha Sitoki kwa vyumba vya burudani
(I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba
(I pray ) Nisafishe, Nisafishe Yesu
(I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba
(I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu
Kama mwana mpotevu Alivyorudi kwa babaye
Nami narudi Leo tena nataka kusamehewa
Nimekutenda mengi Yesu Leo natubu, natubu uuuuh
Nimekutenda mengi, Yesu Leo natubu, natubu, Bwaaana
(I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba
(I pray ) Nisafishe Nisafishe Yesu
(I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba
(I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu
(I pray ) Nisamehe, Nisamehe baba
(I pray ) Nisafishe Nisafishe Yesu
(I pray ) Nikomboe, Nikomboe Baba
(I pray ) Nisafishe kwa damu Yako Yesu
Ecouter
A Propos de "I Pray"
Plus de Lyrics de LETEIPA THE KING
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl