Paroles de Mama
Paroles de Mama Par WOLLACE MARLICK
Slimbwoy Mmmmmmh
For my mama
Smart link records
Hello
My maamaa (my maamaa)
Uko salama niko poa na najikazaaa (na najikaza)
Dada yangu tulikua na yeye jana
Yuko mzima ingiwaje amesota sana (amesota sana)
Nairobi maisha ni ngumu (nairobi maisha ni ngumu )
Tuko mbio kila siku (tuko mbio kila siku)
Kila mtu anataka doo (kila mtu anataka doo)
Na vibaru ni vigumu (na vibarua ni vigumu)
Mdogo tonny yuko shule anasoma sana (anasoma sana)
Aliniambia anaigiza na anaimba Tuombee tuu (tuombee tuu)
Tutaomoka tuu (tuta omoka tuu) Tutasonga juu (tuta songa juu)
Tutainuka tuu ( tutainuka tuu)
Tuombee tuu (tuombee tuu)
Tutaomoka tuu (tuta omoka tuu)
Tutasonga juu (tuta songa juu)
Tutainuka tuu ( tutainuka tuu)
Maaa maa maa
Mungu akulinde
Maaa maa maa
Utajiri wangu ni wako
Maaa maa maa
Heshima ni zako
Maaa maa maa
Nakupenda my mama
Kazi akuna landlord ataka kodi (aataka kodi)
Chakula sina nakula kiporo mama Nitajitahidi (nitajitahidi)
Nitakuinua mama (nitakuinua mama)
Nitasaka hela (nitasaka hela)
Nitakuinua mama (nitakuinua mama)
Nairobi maisha ni ngumu (nairobi maisha ni ngumu )
Tuko mbio kila siku (tuko mbio kila siku)
Kila mtu anataka doo (kila mtu anataka doo)
Na vibaru ni vigumu (na vibarua ni vigumu)
Nitajitahidi (nitajitahidi) nitatia bidi (nitatia bidi)
Nitafanya kazi (nitafanya kazi)
Nitaomba Zaidi (nitaomba Zaidi)
Tuombee tuu Tutaomoka tuu (tuta omoka tuu)
Tutasonga juu (tuta songa juu)
Tutainuka tuu ( tutainuka tu)
Mama mama
Maaa maa maa
Mungu akulinde
Maaa maa maa
Utajiri wangu ni wako
Maaa maa maa
Heshima ni zako
Maaa maa maa
Nakupenda my mama
Maaa maa maa
Heshima ni zako
Maaa maa maa
Mungu akulinde mama
Maaa maa maa
Utajiri wangu ni wako mama
Maaa maa maa
I love you my mama
Jeremy producer
Ecouter
A Propos de "Mama"
Plus de Lyrics de WOLLACE MARLICK
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl