
Paroles de William Ruto
...
Paroles de William Ruto Par KingsMainaMSsteve
William ruto william ruto
William ruto nimekuita mara ngapi wewe ni wetu
Mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana
William ruto william ruto
William ruto nimekuita mara ngapi wewe ni wetu
Mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana
Mzee na kazi baba wa taifa maedeleo tunayo tunajuvunia kuepo kwako
Asubuhi nikiamuka humuombea sana william ruto
Abarikiwe naibu wake pia abarikiwe siku nyingi duniani
Ruto kasema ni vyiema kupea mifugo chanjo
Faida kwako wewe mkulima
Kama umejega nyumba kwa bei nafuu
Nani mwingine kama wewe akuna umetujegea mashule
Mabalabala amani ya wakenya umetuletea mambo mazuri
Ya sha karo umepunguza watoto wanasoma vizuri nani mwingine
Kama wewe akuna william ruto wewe
Ni mzuri ubagui wewe ni wa kabira fulani umetoka
Wapi unfanyaga nini unatupeda sote
Kama wakenya kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha
Vizuri tunajuvunia wewe baba wa taifa
Ata walale waamuke waseme ubaya wako
Mimi nitakupeda nitakupeda zaidi ya jana
Ebu taazama furaha ya wakenya ukieda
Mombasa wanasema william ruto tosha
Nairobi nakuru na country zote za
Kenya tumeugana tunasema william ruto
Tosha mambo mazuri huchukua muda tumpe
Nafasi tafadhari walisema agusha bei ya sukari umeangusha
Wakasema agusha bei ya uga umeangusha
Mafuta pia umeangusha nani mwingine
Kama wewe akuna mtu ni william samoe ruto tano tena
Mtu ni william samoe ruto mtu ni william samoe ruto
Ecouter
A Propos de "William Ruto"
Plus de Lyrics de KingsMainaMSsteve
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl