Paroles de Wachana Naye
...
Paroles de Wachana Naye Par KingsMainaMSsteve
Taratibu wazee Kwa vijana wamama kwa wasichana
Karibieni sauti inawalilia kwa huzuni mingi
Samahani wapenzi tega maskio mniskilize
Mazuri apakwa wingi maovu yote
Tunaodoa ukurasani chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike
Chizika na wako wa nyumbani mwenye mapenzi
Kiupendo ya kifahali isiyo ya leo leo leo tu
Milele milele eeh nasema tena milele milele eeh
Kaa ukijua eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe
Kijana ama mzee Wachana Naye anasifa za kuacha
Mapaja na migogo wazi mwenye kumelemeta
Kaa maridadi car usiku anakaa mwagaza
Ila akipita usimkonyeze jicho usije ukajisahau
Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupedeza sauti
Guzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu
Sometime amevalia kogi kogi utaskia kogi kogi
Akipita kwa marigo huyo ni kama funza anasaka
Pakutubukia kwa muda ooh hao maabunuasi wako hapo ulipo
Walalahoi na walalahai wote wakitubukia ndani kwa ndani
Na kusahau na familia zao manyumbani
Kuwa mjaja usifanywe mtumwa wakate waodoe
Kwa line up ya maisha yako usipagwe na nderemo
Na shagwe siku zote jijue wewe mwenyewe
Uwapedao uwatunze dio watakao kuzika watasimama
Nawe wakati wowote kama ujui jua leo
Hakuna aliye kama wewe ulimwegu mzima
Sio siri tena ni wazi hatharani hawa watu wako
Mumejionea wenyewe jihathali ishi na watu vizuri eeh
Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo
Kupedeza sauti guzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu eeh
Ecouter
A Propos de "Wachana Naye"
Plus de Lyrics de KingsMainaMSsteve
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl