Paroles de Massacre Par KING KAKA


Ka uko na shiba na mimi aisee hiyo ni shida yako
Sipandi mathree but nikipanda mi ushinda vako
Bado lowkey na ufunguo kazote
Doki wa mistari mtangoja sana ni sote
Nazidi tuh kupanda kama credits kwa movie na
Na vile mi mtight I say siwezi loose
Ngamia ina toshea aje kwa shimo ya uzi
Mo juige Napata mabaraka za jaguzzi
Plave plani inaitwa njaa ndio tubilale
A greatwall hatukuonanga life in colour
Leopard kwa logo the chase for impala
Na cotton ni noti the chase for hii mkwanja
But si chase basi itana kesho not guaranteed aisee basi inshalla
Napendwa nanamatinee na napemdwa na masosho
Most followed rapper huko mtaani na ma socials
Na bado mi ni mdope, dope sensation tangu siku za idikoko
Pesa zinadonjo tu nikirap mdogo bengo zinawork
Sishindani na watoto
Passport sio picha tu imejazwa ma visa
Ambia guzo asinicheki aisee asinicheki mi sio wa Jesus
Lakini mtoto wa mungu
Skuizi nimzkafunga ka kanundu
Ati mi siwezi itoa ntakuzungusha the whole day utaitoa
Ka video ya Diana to poze
Hesabu ilikua ngumu pale kwa ki bedsitter
6 bedrooms na kila room sai ikona bed sita
Unalala kwa ile iki boo unalala kwa ile
Ingine na ki heater kwa floor niki bull dog inilinde
From the feoutus nilieran my stripes adadis
Wakitajwa sikosi siuangaliange majina
But siwatgemei niko on the move kamajira danganyweni tu na blogs sijui
Ati nani we spoke utapata mabare ka cheeks za chris rock

Ukiskia siren weka gari kando
Ukiona flashing light buda sii ni double trouble
Tume kafunga juu God alifungua miilango
Kwa beat ya boom bap outstanding nigga niite django
Tangu war song bado akuna disskaa zangu
Kama ni verse kali lazma wanadisguss  Zangu niligrip
Mig na nimekua na blisters tangu
R.I.P big mike
Huyo ni nigga wangu
 Niki cock no diet ni mi pusha chi
Niki drop my shit
Na bei ya jana ndugu sio prive ya sahii
Jipa mita na utapata vesi legit
Nyi juu ya maji kama boy mary galilee
Na hii Nairobi hakuna shamba mi si palilii
Navuna money tree after kuchoma weed
Na bring the heat thousand degrees nani nare ka mimi

They don’t want it as bad as I do
I see they wanna rub shoulders with the hands that I shook
Only icons get a page or a part of my book
So surgical with my moves is never part of a fluke
Loving the progress so in love with the process
So conscious of how I choose to count all my losses
The prophets are saying son be patient for profits
Cos victory is sweet, you better check on your tonsils
A poor mindset for a fat is the biggest disability
Only persons taking it personally can disagree with me
I see you slaving your truth you can’t be free with me
Last supper table if you filthy don’t feast with we
Super mean am grumpy when I’m broke
Super nice when I’m stacked and that’s just how my story flows
I lost my dad, it broke my hearttryna
But it fixed my vision katoloni hibernating yeah the boy been on a mission
Now tell me what’s a kamba boy verse without a kambaline
Nengwa ngundi kentha kwina mundu akee uu undermine
I need to reach the finish line
You busy tryna finish lines
My business I just mind and take care of me and mines
Byeeee

Ecouter

A Propos de "Massacre"

Album : Massacre (Single)
Année de Sortie : 2022
Ajouté par : Farida
Published : Apr 12 , 2022

Plus de Lyrics de KING KAKA

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl