
Paroles de Ova (Swahili Version)
Paroles de Ova (Swahili Version) Par JOHNNY DRILLE
Usikasirike mpenzi hata ukijam bado wapendeza my love
Najua wanimiss baybe hata ukilenga text na kunitesa my love oh yeah
Ningeweza kujenga time machine mpenzi rewind it to be your disciple
Ninaamini penzi letu hakuna kama we watajaribu watashindwa
Ki pusa naomba kuwa nawe
Na hushiki simu wanna make it up my zumaridi
Unangaa kama nyota nawaza, your in my head
Naomba tu nafasi nigeuze mienendo zumaridi
Nitakupa unachotaka nataka kuishi na we
Girl you don’t give me chance make we start all over
Ova o, ova ova ova o, ova ova ova o, ova ova ova ooo
Ova o, ova ova ova o, ova ova ova o, ova ova ova ooo
Sijiwezi ngozi yako nzuri yanichanganyisha baby
Hata ni-kijifanya gangsta wanifanya mnyonge
Mchana kutwa naagalia picha yako nikichizi
Umenifanya chizi sijilewi
Ecouter
A Propos de "Ova (Swahili Version)"
Plus de Lyrics de JOHNNY DRILLE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl