Paroles de Vikali
Paroles de Vikali Par JOH MAKINI
Swiiitch
Wimbii! Wimbii! Wimbii! Wimbii!
Wimbii! Wimbii! Wimbii! Wimbii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali)
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali!)
One shot ( hatoi namba)
Two shot ( zinaanza kamba)
Three shot ( zinaanza bamba)
Four shot ( jua we ni mwambaa) Eeee
Euro gospel club banger (club banger)
Somesha toto tia vema ( tia vemaa)
Ziliko pesa tunatekenya (tunatekenyaa!)
Silei mchepuko ki'yayayaa
Ma'betri wazichomoa wayaa
Ma'bank ndo dooh habari mbayaa
Mapenzi ya drama noo
You show me no love na wala sijali
Usilete vimbwanga hii serikali
Ukabaki ooh mi nna sera kali
Hii serikali kalii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali)
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali!)
Mchezo unajua vile mina'uzimia
Na flow ni viburi kuja vizur bro
Nna mapene huwezi kunja misuli so
Suruali msije kuzigeuza vyoo
Vikali havina warugaruga bro
Watoto wakali una kibunda apo?
Sindo wauza sura mlipo dunda apo! Eee
Papo kwa papo kibinda nkoii (koii)
Msemi natamba kipimpa apo
Naskia wamekuja ki'team apo?
Fanya wayumbe .... sipoii (poi)
Usiniletee madishii, madishii yanacheza
Usiniletee ubishi, ubishi kwa meza
You show me no love na wala sijali
Usilete vimbwanga hii serikali
Ukabaki ooh , mi nna sera kali
Hii serikali kalii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali)
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali!)
Call my phone when you lonely (Call my phone when you lonely)
Call my phone when you lonely (Call my phone when you lonely )
Call my phone when you lonely (Call my phone when you lonely )
Call my phone when you lonely (Call my phone when you lonely )
Weka vikaliii
Leta vikalii
Weka vikaliii
Leta vikalii
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali)
Ile makini mi'na ( Wekaa Vikali!)
Ile makini tu'na ( Leta vikali!)
Ecouter
A Propos de "Vikali "
Plus de Lyrics de JOH MAKINI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl